Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.

Source: Gazeti Jambo Leo

huyu jamaa hatamkewe na wanae wanakazi,maana ni unstable anaweza ikana familia yake siku moja!
 
hawajamaa hata mm siwaelew au kwa kua walimuunga mkono slaa na akashindw ndo wanaleta fitna? sio sawa hata kidg kumkebehi mtu anaposema ukwl........hapo sawa shibuda
 
Kwani maaskofu wamemzuia rais kufanya kazi zake?kama kushindwa atashindwa mwenyewe si kwa visingizio vya maaskofu au ma sheikh,kauli za Shibuda nafikiri ni kujikomba tu kwa mkuu wa kaya,jamaha ni mnafiki sana na haelewekagi,mara auponde uenyeketi wa mkuu wa kaya,mara ageuke asifie,huyu mzee uwa haelewekagi kabisa!
 
Shibuda asamehewe kwani akili yake sio nzuri, hivyo jambo lolote akiongea ni kumpuuza,sema tu ndugu zake wanatakiwa wawe karibu sana na huyu mtu kwani anaweza kuidhulu familia yake. Kama kuitelekeza pale mikumi au Serengeti ili iangamie na wanyama wakali. Kuishi na shibuda ni kazi.
 
Back
Top Bottom