Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

Hii ndiyo Lugha sahihi kwa watu vizabinazabina kama yeye Shibuda, Mimi ningelikuwa Kiongozi mwenye maamuzi hapo CDM, ningelianzisha operesheni Maswa, piga mikutato ya kuelimisha watu kisha Mpige chini huyu Chizi Pandikizi.

Peopleeeee's Power
 
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.

Source: Gazeti Jambo Leo

Duh!!! Mambo gani hayo mengi aliyoyafanya!? Na hawa BAKWATA ndiyo akina nani?
 
Huyu njaa tu anatia aibu sana.

Mimi binafsi niliwahi kukutana nae wakati CCM wamemtema pale Dar City hotel ya paradise na nikaongea nae akiwa anamkandia huyo huyo Rais kwa matusi makubwa tena ya nguoni na kiswahili chake cha kama vile analiwa kisamaki, pia nilikuwa karibu sana na timu ya ITV iliyo muokoa baada ya kutuma muandishi aliyesafiri usiku mzima kwa gari ya kukodi kwenda kum-rescue baada ya CCM na huyo rais kutangaza kwamba amejitoa kwenye ugombeaji siku moja kabla ya uchaguzi na hakuwa na namna yoyote ya kujiokoa if not for ITV, huyu kweli anadhihirisha ya wahenga kwamba msitiri mbuzi binadamu atakuboa.

Anajikomba tu ndio asili yake, hana cha siasa wala nini, ni kujikomba tu na cha kusikitisha sasa wananchi wake hawana mbunge maana hii ni takataka, sasa CHADEMA wamejifunza, hizi takataka ni za kuchoma moto ama kuzichimbia tu ili mahali pawe safi, hivi kwa nini awasakame maaskofu anataka kupata sympathy ya waislamu na kutuzidishia vurugu za kidini, mbona waliposema Kikwete ni chaguo la mungu hakusema, na hicho anachosema serikali imefanya mambo mengi, hebu ayataje ni yepi.

Hafai kabisa huyu; wakati watanzania wanateseka na watu wanaunganisha nguvu kumuokoa mtoto wa kitanzania kwenye udhalimu wa hali ya juu yeye anaendekeza njaa na ubinafsi, hana kazi hana njia yoyote ya kupata kipato isipokua upambe ndio aponee humo, nawaonea huruma watoto wake kwa baba kama huyu

Ukiona takataka iliyoishinda ccm ujue hakuna atakayeiweza maana ccm pale kuna kila aina ya uchafu
 
Kufa hafi, yaani yupo yupo tu! nadhani bado anawaza kugombea urais kwa tiketi ya ccm.
CHADEMA wanatakiwa kuchukua uamuzi mgumu kuliko ule wa NCCR

Nashangaa wanachomlazia damu ni nini
 
ifike wakati jamani sisi kama watanzania tuhoji hoja za hawa viongozi ambao wanajidai kuwa wanalitumikia taifa hili.
sometime kama wanamatatizo ya kufikiri but always time will tell
 
Viongozi wa dini wanao wajibu wa kuikosoa serikali pale inapokwenda kinyume,msidhani wanakosea wanapowakosoa viongozi au wanapowalaumu kama ilivyofanyika,cha msingi kwetu ni kuingalia hiyo lawama au hicho walichokosoa ni cha kweli?je kina faida na watanzania wenye dini na wasio na dini?lakini si suala la kusema eti hawapaswi kusema pale wanapoona jambo linakwenda ndivyo sivyo.
Kilichoharibu hapa ni hili sukuma jenzangu namna lilivyokurupuka na kutoa uharo,japo kwa ushauri wangu huyu mzee alishachanganyikiwa hivyo ni wa kumpuuza tu,yeye alishaathiriwa na mfumo wa chama alichokulia kuja CDM ilikuwa ni kuganga njaa tu,wala hakuna kitu hapo,na hata ubunge asingeshinda kilichomsaidia alikuwa anashindana na fisadi na dhulumati mkubwa ambaye ni Robert alieinunua UDA,alishadhulumu walala hoi kule maswa na Malampaka wakati anajenga kiwanda cha kuchambulia pamba na hata alipokuwa akinunua pamba.Hii ndio ilimpa nafasi ya Shibuda kushinda lakini kama angelikuwa na mtu strong na msafi wala hili zee lisingerudi mjengoni.
Hivi leo ukiliuliza kazi gani tumwache JK afanye hata halijui na wala hatuzioni,hizi za kutalii?
 
Umetumwa?.Unafikiri kwa kutumia makalio au makanyagio?.Unalipwa kiasi gani kwa kuleta thread za kipumbavu kama hii?.Wewe ni mzee wa umri gani sasa hivi?.Una laana ya wazazi wako inakusumbua kwa kutokuwajali tangu umalize shule.Kumbuka kuwa wazazi ni MUNGU wako wa pili.

Kwani lazima uchangie hii sredi wewe bata? Acha wenye uelewa wachangie sio wewe mwenye akili ya kunguni,muone alivyo wa ajabu kweli wewe bata!
 
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.

Source: Gazeti Jambo Leo
Kwa maelezo ya gazeti hili inaonyesha wazi ni wachochezi wakubwa wa Udini nchini..i..Ingawa wanahabari husema kiuandishi - Habari mbaya ndio huitwa nzuri na huuzika!..lakini haya ya kuanza kuchonganisha kanisa na Bakwata ni ushezni wa makusudi kabisa ambao unatakiwa kupigwa marufuku iwe kweli ni Shibuda au hilo gazeti wamechakachua...
 
Mbona fisadi Lowasa aliwahi kuichangia BAKWATA, au ulikuwa hujazaliwa?

Ungalijua ninachomaanisha usingeandika ulichoandika. Je Lowasa ni muislamu? Je kanisa kumpatia utukufu huku nchi nzima akituhumiwa ufisadi ni sahihi? au kanisa nalo liko kwa ajili ya matajiri na mafisadi kama Lowasa?
 
Maaskofu kemeeni yafuatayo kanisani mwenu acheni na JK

a. Kuna miongoni mwenu maaskofu wanatembea na wake za watu na watoto wa seminari kinyume cha maumbile kemeeni kwa nguvu kwani huu ni uovu mkubwa sana kanisani reference to recent revelation in Scotland and netherlands..check your house..

b. Miongoni wa waumini wenu ni wezi, wavivu, mafisadi, wazinzi jingeni moral standards kanisani tatizo hili likiondoka miongoni mwa waumini wenu taifa letu litakuwa na amani

c. Kemeeni makanisa na mitume wengi sana sana wanaotumia jina la yesu vibaya; kuna moja anasema biblia inaruhusu pombe nasikia ameanzisha kanisa lake sinza..hili linahitaji nguvu zetu maaskofu...tena za haraka

kwasasa mnafanya irrelevant na shubuda is very right..
 
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.

Source: Gazeti Jambo Leo

Mzee wa ujira wa mwiha......
 
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.

Source: Gazeti Jambo Leo

Hivi hili dudu la m-pesa CDM waliliokota wapi?
 
DINI zinaingia kupita kiasi kwenye SIASA na kila dini/dhehebu linaingia kwa maslahi yake sio ya Taifa. Shibuda yuko sahihi kwa hili. Tukiliachia hili liendelee hatutakuwa mbali sana na NIGERIA muda si mrefu ujao.

kwa hiyo wasikemee kama kuna mabaya yanayotendeka?
 
Back
Top Bottom