Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

Kuna mtu anasema eti wakristo ndio mafisadi, je kwani waislamu sio mafisadi, ngoja nieleze kidogo

wakati Nyerere akiwa rais nchi ilikuwa na maendeleo mazuri, kulikuwa na viwanda vya nguo, viatu nakadhalika, huyu mkristo,alikemea rushwa kwa nguvu zake zote

wakati Mwinyi akiwa rais nchi ilifilisika, ikabaki ombaomba, hakukemea rushwa, ndicho kipindi watumishi wengi wa umma waliacha kazi na kufanya biashara, kwani utumishi ulikuwa hauna sifa tena, huyu alikuwa muislamu, hakukemea rushwa bali aliuza baadhi ya mashamba ya Serikali nchini. Pia aliuza mbuga ya Loliondo kwa Sultani wa Oman/Emirates- tuna nchi Mpya katika mbuga ya Loliondo, mbona waisalmu hamusemi, hatujasahau, ukiingia mbugani unakaribishwa kwa kuambiwa umeingia katika falme za kiarabu na unakaribishwa, waisalmu mupo, aliacha nchi maskini ikiwa na nchi nyingine mpya ilizoliwa ndani ya nchi ya Tanzania

Alipokuja Mkapa kaimarisha uchumi pamoja na upungufu wake lakini kaicha nchi ina fedha ya kutosha kujiendesha bila kukusanya kodi kwa kipindi kirefu

Alipokuja Kikwete ametumia vibaya fedha za Hazina, safari zake zimekuwa nyingi kuliko Marais wengi waliowahi kuwepo madarakani, ufisadi umezidi, IPTL,richmondi, dowans, songas, ardhi za wanachi zimeporwa na kupewa wawekezaji, watanzania wameuawa kwa risasi migodini, wamenyanga'anywa ardhi zao bila fidia na wazungu wanaovuna mali za nchi bila kupanda na wanalindwa kwa FFU na Jeshi kwa nguvu na mitutu mingi hali kwa kutumia kodi za wananchi

Maovu katika uongozi wa Kikwete hayavumiliki na hayahesabiki, huyu ni muisalmu mbona waisilamu hamusemi, kikwete hajamaliza muhula wake lakini nchi imebaki maskini na ombaomba kuliko kipindi cha Mkapa. Haya angalia Kikwete ameshindwa kukusanya kodi kwa wahindi na wafanyabiashara mafisadi waliokiteka chama chake. sasa hivi kikwete hana hata sauti ndani ya chama kwasababu sio msafi

kuhus Shibuda, huyu ni gamba ndiyo maana hata CDM walipompokea, walimpokea kwa tahadhair hakupewa nyadhifa za juu na nasikia katika katika vikao vya CDM hatawkiwi kuhudhuria ili asije akatoa siri za chama kwa mafisadi na chama chao cha kifisadi cha CCM. Hivyo, tunamjua kuliko ninyi CCM na mafisadi wenu.

mm napita waislamu msirukie kwenye dini toeni hoja zenye msingi
 
Kwani askofu gani amemuandama JK? Nadhani maaskofu wamezungumzia ukweli wa mambo kama yalivyo nchini hivi sasa: Inflation, utata ktk suala la uundwaji wa katiba mpya na ugumu wa maisha unaowakabili wananchi huku tofauti ya kipato kati ya walionacho na wasionacho ikiongezeka kwa kasi. Sasa Shibuda anataka maaskofu wasisema haya? Kumwandama JK maana yake nini? Nadhani huyu Shibuda ana matatizo fulani ndani ya kichwa yake.
 
je una data kuwa hawapewi chochote hao viongozi walioko mikoani, tupe data ili tuanze kujadili
 
tunataka tusaidie chama chetu, na ni vizuri wapenzi wa CDM tuwapatie maoni viongozi wa CDM ili wakijenge chama kwani hakina maisha marefu kama chama cha magamba-CCM, ambacho hadi leo viongozi waliko nagzi za chini hawapati posho zao vizuri
 
CDM oyee, CDM juu, CDM safiiiiii, CDM idumu milele ili chama cha magamba kisipate usingizi, CDM ongeza mwenda, CDM FUNGUENI MASHINA YA CHAMA MIKOANI, WILAYANI NA VIJIJINI KWANI NDIO UTAKUWA MWANZO WA USHINDI WA KIMBUNGA NA WALINZI WA KURA ZETU VIJIJINI

CDM safiiiiiiiii
 
Umetumwa?.Unafikiri kwa kutumia makalio au makanyagio?.Unalipwa kiasi gani kwa kuleta thread za kipumbavu kama hii?.Wewe ni mzee wa umri gani sasa hivi?.Una laana ya wazazi wako inakusumbua kwa kutokuwajali tangu umalize shule.Kumbuka kuwa wazazi ni MUNGU wako wa pili.
 
Dawa ya Shibuda ili kumfilisi kisiasa ni kumtosa CHADEMA akose kwa kwenda hawezi kuwa zumbukuku kiasi hiki haeleweki mara huku mara huku hizi ni dalili za kufilisika kisiasa nashauri baadhi ya wanasiasa waende milembe wakapimwe afya isije watu wakawa wamechagua machizi kuwapeleka bungeni
 
Kuna mtu anasema eti wakristo ndio mafisadi, je kwani waislamu sio mafisadi, ngoja nieleze kidogo

wakati Nyerere akiwa rais nchi ilikuwa na maendeleo mazuri, kulikuwa na viwanda vya nguo, viatu nakadhalika, huyu mkristo,alikemea rushwa kwa nguvu zake zote

wakati Mwinyi akiwa rais nchi ilifilisika, ikabaki ombaomba, hakukemea rushwa, ndicho kipindi watumishi wengi wa umma waliacha kazi na kufanya biashara, kwani utumishi ulikuwa hauna sifa tena, huyu alikuwa muislamu, hakukemea rushwa bali aliuza baadhi ya mashamba ya Serikali nchini. Pia aliuza mbuga ya Loliondo kwa Sultani wa Oman/Emirates- tuna nchi Mpya katika mbuga ya Loliondo, mbona waisalmu hamusemi, hatujasahau, ukiingia mbugani unakaribishwa kwa kuambiwa umeingia katika falme za kiarabu na unakaribishwa, waisalmu mupo, aliacha nchi maskini ikiwa na nchi nyingine mpya ilizoliwa ndani ya nchi ya Tanzania

Alipokuja Mkapa kaimarisha uchumi pamoja na upungufu wake lakini kaicha nchi ina fedha ya kutosha kujiendesha bila kukusanya kodi kwa kipindi kirefu

Alipokuja Kikwete ametumia vibaya fedha za Hazina, safari zake zimekuwa nyingi kuliko Marais wengi waliowahi kuwepo madarakani, ufisadi umezidi, IPTL,richmondi, dowans, songas, ardhi za wanachi zimeporwa na kupewa wawekezaji, watanzania wameuawa kwa risasi migodini, wamenyanga'anywa ardhi zao bila fidia na wazungu wanaovuna mali za nchi bila kupanda na wanalindwa kwa FFU na Jeshi kwa nguvu na mitutu mingi hali kwa kutumia kodi za wananchi

Maovu katika uongozi wa Kikwete hayavumiliki na hayahesabiki, huyu ni muisalmu mbona waisilamu hamusemi, kikwete hajamaliza muhula wake lakini nchi imebaki maskini na ombaomba kuliko kipindi cha Mkapa. Haya angalia Kikwete ameshindwa kukusanya kodi kwa wahindi na wafanyabiashara mafisadi waliokiteka chama chake. sasa hivi kikwete hana hata sauti ndani ya chama kwasababu sio msafi

kuhus Shibuda, huyu ni gamba ndiyo maana hata CDM walipompokea, walimpokea kwa tahadhair hakupewa nyadhifa za juu na nasikia katika katika vikao vya CDM hatawkiwi kuhudhuria ili asije akatoa siri za chama kwa mafisadi na chama chao cha kifisadi cha CCM. Hivyo, tunamjua kuliko ninyi CCM na mafisadi wenu.

mm napita waislamu msirukie kwenye dini toeni hoja zenye msingi

Kuwa mkweli kwani chanzo cha umasikini wa nchi yenu ni Nyerere na sio mwingine. Kwani yeye aliweka misingi mibovu sana ya uchumi wenu na ndio sasa unawamaliza. Yeye ali[ewa nchi ikiwa safi na wakoloni na yeye aliasisi Ulanguzi na ubadhilifu wa mali ya umma. Kitu kilichokomaa mpaka leo kuwa ufisadi.

Hakuna wa kulaumiwa bali ni misingi mibovu mliyowek baada tu ya uhuru.

wakati Nyerere akiwa rais nchi ilikuwa na maendeleo mazuri, kulikuwa na viwanda vya nguo, viatu nakadhalika, huyu mkristo,alikemea rushwa kwa nguvu zake zote

Mkuu, usidanganye umma;
-Wakati wa nyerere tulikuwa tunaunga foleni kununua sukari.
-Hali kadhalika kwenye chakula ndo usiseme kuna ule unga wenye rangi ya njaro ndo tulikuwa tunapata.
-Tulikuwa tukivaa zile kata mbuga (viatu vya matairi).
 
Hv huyu mzee ni Popo au ndege???? Mi huwaga simuelewagi na hakunaga mnafiki na mganga njaa kama huyu!!.

HANAGA TOFAUTI NA MGANGA NJAA LUSEKELO, ANGALIA UPUUZI WAKE NAYE HAPA CHINI

Mzee wa Upako awakingia kifua mafisadi
Imeandikwa na Oscar Job; Tarehe: 26th December 2011

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi la GRC Ubungo, Antoni Lusekelo ‘Mzee wa Upako’,
ameibuka na kuwakingia kifua watuhumiwa wa ufisadi kwa kueleza kuwa hizo ni siasa za chuki zenye lengo la kuharibu harakati za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

Bila kutaja chama husika, Lusekelo alisema kumekuwa na shutuma za hapa na pale kwa baadhi ya viongozi wa vyama kuwatuhumu wengine kuwa ni mafisadi na kutaka ikiwa wana ushahidi wawapeleke mahakamani badala ya kusema tu bila ushahidi wa kisheria.

Miongoni mwa chama kinachodhihirisha kupinga ufisadi waziwazi hivi sasa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya viongozi wake wa juu kusimamia kampeni za kujivua gamba kwa kuwataka watuhumiwa wa ufisadi kujitoa wenyewe katika uongozi na hata chama kabla hawajatolewa.

Mchungaji Lusekelo aliyasema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akitoa salamu za Krismasi na Mwaka Mpya ambapo alidai hatua za kutupiana lawama za chuki na vinyongo haiwezi kulijenga taifa wakati mwananchi wa kawaida anaumia.

“Mungu anachukia visasi na sasa ni miaka miwili imetimia tangu watu waanze kutuhumiwa ni mafisadi, lakini hawa wanaosema kama wana ushahidi kwa nini wasiwapeleke mahakamani,
wanafanya chukizo kwa Mungu, hata Nabii Selemani alipogombea mtoto na mmoja ya majirani
zake, alitumia busara ilipofikia hatua ya mtoto lazima achinjwe ili kila mmoja agawiwe kipande chake, basi kutokana na hili vyama vyote vya siasa vinatakiwa kutumia busara na hekima katika kuyaendea mambo yao na sio chuki na visasi,” alisema Lusekelo.

Alitaka hali hiyo ikomeshwe kwa kutaka wanasiasa kuwa na umoja na kuweka maslahi ya Taifa mbele ili kuepusha taifa katika hatari inayonukia mwaka 2014 ikiwa makundi na siasa hizo zitaendelea.

Kuhusu Katiba mpya, aliipongeza Serikali kuridhia matakwa ya wananchi

Hivi wanaosali kwake ni watu au mandondocha wake?

Data plz ya utofauti wa kimaslahi kati wajumbe wa mikoa ya kusini na kaskazin pia magharib. 2012 CCM WOTE WEZI.
 
Badala ya kuwatenga huwatukuza na kuwawekea viti vya mbele kwenye makanisa yao, huwaalika kwenye harembee zao na wengine hata kufikia hatua ya kuwasafisha hadaharani. Ingalikuwa bora kama wangaliwafukuza au kuwatenga makanisani kwao kwanza ili wapate uhalali wa kuisema serikali vibaya juu ya ufisadi.

Mbona fisadi Lowasa aliwahi kuichangia BAKWATA, au ulikuwa hujazaliwa?
 
Shibuda ni chizi tu na mie nashanagaa jinsi gani siasa za bongo zilivyo zoa zoa yaani mtu yoyote tu awe chizi, kibaka, changu, mbumbumbu, n.k. ali mradi tu apitie chama cha siasa anaweza kuwa mbunge au rais. Kikwete ni mfano mzuri wa hilo maana inashangaza sana watanzania mlikuwa wapi mpaka mkampa nafasi kubwa kabisa katika nchi, eti awe kiongozi wa nchi na amiri jeshi mkuu!!

Hata hivyo Shibuda ana point hapa. Viongozi wa dini wamezidi sana kuingilia siasa. Nimefatilia mahubiri yote ya krismas makanisani yaani wachungaji na mapadri ni kuongea tu siasa. Sisi waumini tunapokuja makanisani tunakuja kulishwa neno la Mungu. Si kusikia porojo za siasa. Binafsi mie nikiingia kanisani nikamwona mchungaji badala ya kuhubiri neno anabwabwaja siasa, natimka nje. Ni ujinga kulalamikia siasa makanisani badala ya kufanya uamuzi sahihi. Uamuzi sahihi ni kupiga kura kukataa siasa mbovu. Si kulia lia madhabahuni.
 
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.

Source: Gazeti Jambo Leo
Hili zee bado mnalijadili tu!!! Katika nchi hii sijawahi kuona mwanasiasa hovyo kama huyu. Mtaniwia radhi wananchi wa Jimbo la Maswa.
 
Maneno sawia kabisaaa. Kwani inaonekana huko Tanzania Maaskofu ndio watakaoleta mtafaruku nchini mwenu.

Bora Shibuda umeliona hilo na kulikemea tena hadhwarani.

Hongera sana kwa kuona mbaaaali

Ijumaa iliyopita palikuwa yawepo maandamano ya "wahadhiri wa Kiislamu" kupinga MoU ya serikali na makanisa. Wakapigwa marufuku na Kova kwa kuwa hata usajili hawana na wanalodai hata wao Waislaam hawajaomba wakanyimwa. Tukiendekeza UDINI upande ule ambao hamasa kidogo tu inatosha kuwaweka barabarani au kulipua nyumba za Ibada watafanya hivo. Nigeria ni Afrika nyeusi tu wala sio Libya.
 
dawa ya shibuda ili kumfilisi kisiasa ni kumtosa chadema akose kwa kwenda hawezi kuwa zumbukuku kiasi hiki haeleweki mara huku mara huku hizi ni dalili za kufilisika kisiasa nashauri baadhi ya wanasiasa waende milembe wakapimwe afya isije watu wakawa wamechagua machizi kuwapeleka bungeni
mlimkaribisha wenyewe huyu mzee wa mwiha kwa uroho wenu wa kutaka kuongeza majimbo ili muongeze ruzuku! Leo tena hai enhee!! Ninyi ndio hamfai kwa sababu hamjui kuchagua wagombea bora! Mnakurupuka tu eti shibuda! Hamjui hata alipotoka, wala historia yake!

T 2015 CCM
 
Maneno sawia kabisaaa. Kwani inaonekana huko Tanzania Maaskofu ndio watakaoleta mtafaruku nchini mwenu.

Bora Shibuda umeliona hilo na kulikemea tena hadhwarani.

Hongera sana kwa kuona mbaaaali

We ni raia wa wapi?
 
Kazi ambayo raisi wetu anaimudu ni kusaini yale ambayo hata yeye hayaamini. Mengine yote yalishamshinda.Ni bora viongozi wa dini waendelee kuongea maana wakinyamaza wao ina maana inabidi wananchi tuongee wenyewe. Sasa kwenye nchi yenye watu 40 mil kama wote tukiamua kupaza sauti kwa pamoja si itazidi hata ile ya Misri??
Kwa kuwa ameongezewa posho Mzee Shibuda hawezi kuona shida tunayoipata wananchi wa kawaida. Serikali yetu imepoteza legitimacy maana hamna wanalofanya kwa manufaa ya waliowachagua bali kila mtu anajitahidi kuchukua chake mapema.
 
Ha haa haa! Guys you are very funny! Hivi lengo la mtoa mada ilikuwa tumjadili Mh. huyu (personality yake) au tufanye upembuzi yakinifu kwa maneno aliyoyasema.

Mi binafsi naona maneno aliyoyasema yana Mashiko kwa sababu siku za karibuni kumezuka wimbi la viongozi wa dini (Nikimaanisha wakristo na waislamu) kuidadavua Serikali kila kukicha sasa najiuliza hiviii siku serikali nayo ikiacha kazi zake za msingi (MISSION) na kuanza kuzidadavua dini hizi kwa staili ya mipasho kama wanavyofanya wao patatosha kweli!!

My take : kila mmoja afanye kazi zake za msingi kama ni kuikosoa Serikali vipo vyama vya Upinzani na Wanaharakati wengine sio kazi ya taasisi za kidini.
Kanisa na misikiti haiwajibiki kwa serikali lakini serikali inawajibika kwa makanisa na misikiti.
 
Back
Top Bottom