Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

Buriani Shibuda sasa hivi anaweza pata ajali mbaya sana akitokea Bungeni Dodoma!
 
Zitto avuliwe gamba!


QUOTE=mpunumpunyenye;4607284] Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe[/QUOTE]
 
Kuna nafasi fulani fulani za CDM huwa hazigombaniwi kuchukua form za ugombea bali "busara"za wazee wa CDM huchukua mkondo wake kwa "maslahi"ya chama

Zitto anaijua vizuri hii falsafa, so kama ni kweli Shibuda kwanza anatakiwa kugombea uanachama wa CDM ambao hajaonyesha ukomavu sembuse uenyekiti?

Lakini kwa bwana Shibuda hili wala halimpi shida nachotaka yeye ni kuonekena kwenye media tu kama alivyokuwa anafanya CCM na wala si kugombea shinde
 
mkumbusheni yaliyomkuta CHACHA WANGWE baada ya kuonyesha nia ya kuutaka UENYEKITI
 
Shibuda anataka kugombea uenyekiti wa CDM wakati uwanachama wake upo mashakani cha muhimu ange imarisha kwanza mahusiano yaliyopotea na CDM ili angalau uwanachama wake uendelee na kudumisha nafasi yake ya Ubunge.
 
we utakuwa wakili wa kujitegemea wa hii Bandi, Nenda ka google Circumstantial evidence halafu Mods watakuruhusu kufanya New edition ya Comment yako!

Chagga Jazz band hawawezi kubali, Baba mkwe wa bend si alisha sema Hawezi kumuachia chama mtu FROM NO WHERE

Hivi kwenye 'kusema' huwa kuna circumstantial evidence ??
Mtu akisema, basi kauli yake ndio evidence yenyewe. Kauli hiyo inaweza kurekodiwa kama audio, video, etc. na kuwekwa kama evidence.
Nulikupa mfano wa kauli ya '... liwalo na liwe..' Hii kauli imerekodiwa, na ina evidence ya audio na video !!
Weka hapa kauli unayoitaja ili tuione au kuisikia. Kama umekwama sema.
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

Huu ni uwongo mtupu, sisi CDM tunae mwenyekiti wetu wa kudumu Mh! Mbowe na yeyote akijaribu tutamuonyesha..iliza Marehemu Wangwe na Zitto Kabwe. Chezea CDM wewe!?
 
Huyo lazima aungwe mkono na kambi ya kibaraka mwenzake zito. lengo la hawa watu wawili ni kutimiza utabiri wa wasira wa CDM kusambaratika kabla ya 2015.

mbona wao ndio watasambatika na kuiacha cdm wamuulize kafulila ...halafu mie sijaelewa huo uenyekiti ni wa nini na lini pametangazwa mchakato wa uchaguzi huo au?
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

250790_386517554752369_295983375_n.jpg
 
Sioni tatizo lolote shibuda akigombea kwani waamuzi wa mwisho ni wanachama wa cdm msiige mtindo wa ccm ambao mwenyekiti anachaguliwa bila kupingwa huu ni wakati wa kuonyesha watanzania kuwa kweli cdm wanaheshimu demokrasia
 
Back
Top Bottom