Elections 2010 Shibuda kateleza au ni mazoea tu? hebu sikiliza video hii

Tunahitaji watu makini CDM hatuhitaji watu walio changanyikiwa,tupo kwenye harakati za ukombozi hivyo shibuda chunga kauli zako,
 
Naona ukitaka kumwelewa basi sikiliza mwanzo mwisho, naona hana tatizo kiujumbe ila ana tatizo la maneno. Peoples power ilianzishwa na TANU na sasa inaendelezwa na Chadema
 
Shibuda bado anaonekana ana genes za kijani kichwani mwake.


nahisi alikuwa anawadhihaki ccm unajua mambo uswazi la sivyo mmh! isije sawa na nguruwe aliye oshwa karudi kwenye matope! CHADEMA NA WANACHAMA WAKE WAKO MAKINI KTK NGUVU YA UMA HAWABAIKI NA MTU SISI TUNA UMA utawaweka wasaliti wote na kuwapepeta na kuwaweka ktk historia kuwa a-z walikuwa adui no MOJA WA UMA....
 
Last edited by a moderator:
Binafsi naona tunaacha mchele mwingi na kutafuta mawe machache. context ya magale kurudi bungeni, inahusu hujuma na njama kali sana. kuna mtu alikufa, Magale aliwekwa ndani, akazuiwa kufanya kampeni na kuvumishwa kwamba katolewa kwenye ugombea ili kuwakatisha tamaa wapiga kura. kilicho muhimu ni kauli ya wapiga kura kwamba wamechambua mchele na pumba wakazitupilia mbali, pamoja na nguvu kubwa zilizotumika na dola. CHADEMA imeweza kudhihirisha kwamba inao uwezo wa kukusanya watu waliojipambanua kuwa ni wapambanaji kutoka kila kona. ni kweli mapandikizi wamo, na wenye tamaa zao wenyewe bado wapo. ndio maana CHADEMA bado inayo kazi ya kutorudia makosa ya ccm, na kuja na structure ya aina yake ambayo itahakikisha kwamba mafisadi na mandumila kuwili wanachujwa mapema, na chama kisonge mbele. tatizo sio kwamba magale anaweza kuwa ndumila kuwili. tatizo ni nini CHADEMA kitafanya katika mazingira hayo. CCM wameonesha njia isiyofaa. inashtaki watu kwa ufisadi, na kutamba kwa rekodi hiyo, na kisha inarudi kuwaombea kura jimboni kwao. huu ni uchafu na sioni kama ccm wameachana nao
 
nI KWELI AMATELEZA... HAYO YAMENIKUTA NILIPOHAMA KAMPUNI FULANI NA KUHAMIA KAMPUNI PINZANI ILINICHUKUA MIEZI SITA KUONDOA BRANDING YA KAMPUNI NILIYOTOKA KUINGIZA NYINGINE.... :bowl:
 
Magale mzee wa tantalila, anajua kucheza na lugha sana huyu bwana. Nasubiria kumsikia michango yake bungeni akiwa kambi ya upinzani
 
Nadhani aliteleza, kukaa ndani ya CCM miaka mingi, lazima utaamka tu, subirini nae Kafurila anaweza teleza vile vile
 
Shibuda siku hiyo alisema Pipoz power mwishoni ila ulimi ulimteleza katikati ya mazungumzo. Anaongea kama Cherehani huyo kuteleza kwake c ajabu.
 
Akiwa ni moja wa makada na wakereketwa wa ccm kwa kipimdi kirefu nadhani hapa alijikwa ulimi. Unajua mazoea yana taabu. Lakini atasahau tu atimaye
 
Shibuda ni msanii na opportunist mkubwa wa kisiasa. I have said before and will do it again, again and again...

Hapaswi kuwa sehemu ya chama chochote au team yoyote makini... I personally think that it's one of Chadema's (I would safely say fatal) mistakes to accept this guy in the party. Anyways, kwa vile yu miongoni mwenu tayari, basi just stay forewarned.

If his past is anything to go by, he's just using your party and will jump ship sooner than you know it...na hapo si kabla ya kuwakorokoroga (na hata pengine kuzipiga na) akina Mbowe of this world kwanza......... (pls my dear president Dr Slaa - heed this).
 
Kwa wasomaji wa biblia mtume paulo anasheuri kuwa mtu aliyeongoka au kuokoka siku za karibuni asipewe uongozi,maana ataweza akajivuna.hebu tafakarini kwa nini dr lamwai hadi leo si lolote wala chochote ccm,kwa nini ngtawaiya alirudi ccm akajaribu moshi mjini akaishia kura za maoni tu, yu wapi dr kaborou?hoja ni kwa mba ccm inaua vipaji toka upinzani, vyama vya upinzani ni vizuri viwape wale wakimbizi hifadhi na mahali pa kupumulia lakini wakati huo huo tahaddhari na vetting zifanyike ili mtu aliyetumwa ajulikane na mwanamageuzi waukweli aeleweke.vyote needs time
 
Point ni kuwa akiboronga wananchi hawata mrudisha hiyo utabiri wako wa kupiga bao ni kuusubiri ,ila kwa kauli hii kufikia hitimisho ni mapema hima hima watz ahaaaaaaaa,chama changu cha mafi..

Huwa anashinda kama shibuda sio CCM wala CHADEMA
 
Huyu shibudabuda ni mamluki >>>nawataka wadau mkae mkao wakusikia siku moja akirudi sisiem na kuichamba chadema>>huyu pale chadema kaenda si kama mtetezi wa wanyonge bali kutimiza maslahi yake>>>viongozi wangu chadema..kaeni macho na huyu mtu
 
Back
Top Bottom