Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

Shibuda anataka kufukuzwa CDM kwa sababu tu amechangia hoja ndani ya bunge kuhusu posho ameonyesha mawazo tofauti na akina Mbowe na kina Tundu Lissu!
Shibuda anayo haki ya kuwa na tofauti, na wanaostahili kumsakama ni wapiga kura wa Maswa. Angalia sasa Shibuda kumuudhi Mbowe tu, ubunge wake uko mashakani
 
Shibuda anataka kufukuzwa CDM kwa sababu tu amechangia hoja ndani ya bunge kuhusu posho ameonyesha mawazo tofauti na akina Mbowe na kina Tundu Lissu!
Shibuda anayo haki ya kuwa na tofauti, na wanaostahili kumsakama ni wapiga kura wa Maswa. Angalia sasa Shibuda kumuudhi Mbowe tu, ubunge wake uko mashakani

Swala la POSHO ni la kisera si la mbowe wala zito - Kama hujui ni bora kukaa kimya.
 
Mtu unapo acha kujadili mada au hoja na kuanza uzushi unakusaidia nini ? Hivi hadi sasa kuna mtu anataka watanzania waamini kwamba Chadema ni mali ya watu 3 au wana siasa za Ukanda ?Kwani huyu Shibuda yeye ni kanda gani mbona ni mbunge wa Chadema ? Akina Wenje na Sugu nao ni wa wapi ? Akina Mnyika na Mdee nao wanatoka kanda gani ?Jamani jaribuni kuficha upumbavu wenu sometimes .
 
CHADEMA ilikuwepo hata kabla ya shibuda kuja, hata akifukuzwa hana impact chamani, zaid atakufa kisiasa kabisa, ameshakuwa matapishi nani amrudie kumla, hata ccm hawawezi kuna vijana tele wenye uwezo kuliko yeye, so asijigambe!
 
Swala la POSHO ni la kisera si la mbowe wala zito - Kama hujui ni bora kukaa kimya.
Hivi unajua mpaka sasa CDM wanapokea posho Bungeni na Katibu wa bunge alisema CDM bado hawajamplekea barua ya kukakataa posho, na Tindu Lissu, alikubali kweli hawajapeleka barua, sasa ebu wewe tuambie lini CDM hakupokea posho. Lete data JF sio sehemu ya porojo
 
Hivi unajua mpaka sasa CDM wanapokea posho Bungeni na Katibu wa bunge alisema CDM bado hawajamplekea barua ya kukakataa posho, na Tindu Lissu, alikubali kweli hawajapeleka barua, sasa ebu wewe tuambie lini CDM hakupokea posho. Lete data JF sio sehemu ya porojo

Posho za wabunge ni sehemu ndogo ya maposho ambayo watumishi wa serikali (hasa wa ngazi za juu) wanajipa,msingi wa hii hoja ni kuondoa posho ambazo hazina tija ili kubana matumizi ambapo fedha itakayopatikana ikasaidie kunyanyua hali mbaya ya maisha kwa watanzania wengi,kama mnaona hili ni suala la CDM eti kupata umaarafu,then mnajitoa ufahamu kuhusu hali ya umaskini inayowakabili wapiga kura wengi ambapo kwa kifupi mnawaambia wabunge wa nchi maskini hawatakiwi kuishi kimaskini hata kama wapiga kura wao wengi ni maskini wa kutupwa...ni ubinafsi,dharau na kebehi zisizo na mfano...
 
Na baada ya muda si mrefu, magwanda wataona kuwa Safari hawafai na pia wataona kuwa Lissu hawafai, wee ngoja tu. hapo ndipo watu watajua kuwa hiki ni chama cha kifamilia kwa maslahi ya wachache wanaokubaliana na mwenendo wa familia fulani fulani tu.
Let's be serious on this na tuache kudandia mada huku tukiwa na mtazamo wa kimapokeo na umaskini wa kufikiri. Unadhani kwa kupingana na sera za chama shibuda hata angekuwa CCM angebaki salama?CHADEMA wako sahihi kumshughulikia Shibuda na kama sababu ndiyo hii ni ujinga kuita chama cha familia.
 
Kazi kwelikweli, nafuu sisi tunaoishi porini.
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.

Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com
 
shibuda anatafuta pa kuegema hana llote huyu.....na hawezi kukwepa kama kweli chadema wakiamua kumtosa......

lakini pia hili liwe fundisho kwa chadema...waliambiwa sanajuu ya kumpokea mamluki huyu......tena nakumbuka kiranga na Rev kishoka walikuwa mstari wa mbele lakini chadema haikusikia......hata miaka mitatu haijaisha tayari jamaa anaoneakana kupwaya

Hata mwaka mmoja haujaisha, sasa tunasema laiti CDM wangetusikiliza!
 
akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,arusha wapanga siri.

Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com


huyu jamaa si ni yule aliyetaka kugombea urais against kikwete kupitia ccm kinyume na makubaliano ya chama. Unategemea nini zaidi kama alidiriki kupingana na maamuzi ya chama ndani ya ccm. Atawaharibia kokote atakakoenda
 
CDM officials stand firm and ignore these nonsense you are tested your nerves with a dying fool.
 
Akichangia hoja bungeni anasema CCm imeshindwa lindo Chadema waingie kwa vile viongozi w CCM waliopo sio CCM asilia,anataka Membe apelekwe The Hague kwa kunyamazia mikataba mibovu,anamalizia vijembe kwa chama chake ( bila kutaja watu)eti wananchi wa Maswa wanasema mto ukichomwa kuni huota majivu,wasibambike kesi kwa sababu ya watu wasio na sauti,anaomba Tanzania wasiwe na wafalme dhulumat ,ha ha ha lakini ni comedy letu limeanza kwa gear ya kuonyesha yeye anaweza kujisimamia ha ha
 
Mgongano wa mawazo ni kitu kinachotakiwa katika chama ili kuendelea.

Lakini tofautisha mgongano wa mawazo, na huku kukosa nidhamu kwa wazi kunakoletea mtu kukitukana chama chake kwa lugha ya kejeli zisizo chembe ya uungwana. Gonganisha mawazo kwenye vikao vya chama, sio unaonyesha kiburi cha wazi kabisa na kukifanya chama hostage.

For all we know Shibuda anaweza kuwa anazungumza na rafiki zake wa CCM kuendeleza mkakati wa kukimaliza CHADEMA kwa migogoro, kitu ambacho tulionya tangu day one.

hapa mkuu nimekupata kwa hali hii basi jamaa hajajivua gamba bado aliondoka huko ili apate ubunge basi and not otherwise
 
Kama kawaida yake akichangia hoja ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mbunge wa Maswa John Magale Shibuda kaedndelea kutumia nahau zake zinazoelekea kuchuja huku akivurumisha makombora ya Wazi kwa Viongozi wa CDM akidai kuwa kiongozi Giza huogopa Mwanga na kuwa hakubali kukosolewa wala kukubali mawazo ya watu na daima huanzisha kesi kuwapakazia wenzie.

Ameongeza kuwa ukomavu wa Ndoa ni misukosuko na kuwa Ndoa yake na Wananchi wa Maswa inazidi kuimarika kwa sasa kwa kuwa yeye Gogo la UDI akichomwa ananukia ili kuwavutia zaidi kwa harufu yake nzuri.

My take: HUU ni uchokozi na kuwayumbisha viongozi wa CDM ambao kwa sasa wanatafuta ufumbuzi wa kitendo chake cha utovu wa Nidhamu. Ni vema kauli hizi za leo zikachukuliwa kwa tahadhari huku akipuuzwa kwa jaribio hili ili kutopoteza focus ya mambo mengine ya Msingi katika Chama
 
Ni kwa sababu Membe ana maneno matamu kuliko matendo! Amedai pia kwamba maneno ya uwongo hata kama ni matamu sana hayawezi yakawa ya ukweli! Alisema vilevile kwamba Membe ameshindwa kutumia Jumuiya ya Kimataifa kuwashtaki kwenye Mahakama ya kimataifa ili kuwashtaki waliotuingiza kwenye mikataba mibovu!
 
Wakati akichangia hotuba ya Wizara ya mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Shibuda ameipiga tena madongo kwa maneno yake haya ' Yeye ni kama mti wa udi , ukichomwa ndio huzidi kuvutia tofauti na mti mwingine ambao ukichomwa hutoa majivu'. Hili lina maana kwamba japokuwa Magwanda wameamua kumchafua , watu wa maswa bado wana imani nae na wanazidi kumuamini kama mwakilishi wao
 
CHADEMA hapa ilichemsha.

Na kama haikuweza kuonyesha judgement katika kum-screen huyu mercenary, essentially hii inatoa statement kwa CHADEMA kukosa judgement inayotakiwa kwa chama mbadala.

Judging from this fracas, is CHADEMA ready for prime time?


Mtazamo wangu sidhani possibly inawezekana kabisa kuwa CDM walijua kuwa huyu jamaa ni Mamluki lakini
Utawa screen wangapi? Ofkoz jamaa anajulikana kabisa kuwa ni Usalama wa taifa tangu enzi zile za mapinduzi
za nchi za kusini mwa bara la afrika na hata katika kipindi cha uchaguzi alipokuwa akizunguka na Mh Slaa
Kwenye kila Wilaya jamaa alikuwa akikusanya ripoti toka kwa ma afisa usalama wa taifa naamini CDM walijua
Kuwa huyu jamaa ni nani la hawakuwa sure na mission yake while in CDM.ukomavu wa chama pia ni kedeal na
magamba hawa haiwezekani chama kisiwe na migongano ya hapa na palekwani watu ndio chama na watu wa
idea tofauti tofauti...
 
Amesema pia Ukimpeleka mwanamke chongo kwa Membe kwa jinsi alivyo na maneno matamu na ya uongo atakwambia huyo mwali sio chongo! Souce: Shibuda.
 
Back
Top Bottom