Shibuda awa mwenyekiti mpya CHADEMA mkoa wa Shinyanga

Maadam Makamba kaondoka Shibuda yuko mbioni kurudi ccm, time will tell and it will be before 2015!!
 
Misukosuko aliyopitia hadi kushinda Ubungo pamoja na kuwekwa ndani na kuzuiliwa kufanya kampeni siku zile za mwisho, ni kweli anakubalika katika jimbo lake na ana uwezo wa kukijenga chama chake katika mkoa wake. Watu kumi (10) wakikutana hawawezi kufikiri sawa hivyo kutofautiana kimawazo ni jambo la kawaida ila mwisho mawazo ya wengi ndio yanayochukuliwa na kuwa ndiyo maamuzi sahihi.

Wengi wetu tunamkandia Mh Shibuda kwa kuwa huwa anaongea kiswahili kigumu tusichokielewa na wengi tunatoka kapa. Kuna ile siku alichanganya na Kimombo Mh. Makinda akawa anakenua tuu
 
Nimeeleza yote haya si kwa chuki na Shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...

mbona unajihami hivi ;ulitaka atkoee

MARANGU
ROMBO MASHATI
ROMBO MASURUALI
SANYAJUU
SANYA CHINI??WAPEN NAFASI WAJICHAGULIE HATA WANGECHAGUA YOYOTE KUWAONGOZA
 
Nimeeleza yote haya si kwa chuki na Shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...

mbona unajihami hivi ;ulitaka atkoee

MARANGU
ROMBO MASHATI
ROMBO MASURUALI
SANYAJUU
SANYA CHINI??WAPEN NAFASI WAJICHAGULIE HATA WANGECHAGUA BATA KUWAONGOZA

Ndugu naona unazidi matusi
Kivipi utuone watu wa shinyanga kuwa tunaweza ongozwa na bata?????????????????????? Bata atakuongoza wewe na mkeo na siyo sisi

(Au unataka mfananisha Shibuda na BATA? ndio anamatatizo yake ila sio kumwita Bata.We hope he gona change kwani ameisoma namba bila kupenda)
 
ndugu naona unazidi matusi
kivipi utuone watu wa shinyanga kuwa tunaweza ongozwa na bata?????????????????????? Bata atakuongoza wewe na mkeo na siyo sisi

(au unataka mfananisha shibuda na bata? Ndio anamatatizo yake ila sio kumwita bata.we hope he gona change kwani ameisoma namba bila kupenda)

mkuu umewahi kuruka ila nimefuta kauli hapo juu bana m sijakomaa kama lema
nakutaka rwadhi na wana shy wote
 
Katika Jumuiya makini mtu anapokaimishwa maana yake itakuwa vigumu kupewa hicho cheo moja kwa moja especially vile vyeo vya kucchaguliwa kama uenyekiti. huwa hivo kwa sababu ngazi za uteuzi wa wagombea [kamati kuu] humkaribisha ili kutoa maoni yake juu ya waombaji mbalimbali.
hata hivyo hii kanuni haitumiki sana kwenye nchi zetu ambazo watu wengi ni opportunist!
Kwa mtazamo wangu na jinsi ninavyofahamu umakini wa katibu mkuu wa CDM ukaimishwaji huo ni njia muafaka ya kumuweka kando kwenye kinyang'anyiro cha kupewa uenyekiti.

THIS IS JUST MY OPINION!
 
mkuu umewahi kuruka ila nimefuta kauli hapo juu bana m sijakomaa kama lema
nakutaka rwadhi na wana shy wote
thanks for this at least ma day gonna ends good

(By the way unamaanisha nini kusema hujakomaa kama Lema,Lema which is which chalii angu mbona husomeki? lipi tatizo lake)
 
Shibuda haiwezekani nafikili Mpendazoe anafaa zaidi au katibu awe mwenyekiti halafu atafutwe katibu mwingine
 
CDM hawana viongozi zaidi ya wakina Shibuda, sasa wakimtoa Shibuda unataka ww ndio uwe mwenyekiti ili hali huwezi? Hongera Shibuda , wavue magamba na wenzako kwa kuwaambia ukweli

Rangi uliyotumia kuandika inatia kichefuchefu!
Nikishatapika nitakujibu.
 
mkuu ukimpa mchawi akulelee mtoto hatomloga ila huyo mtoto atafundishwa uchawi
hacha kuchukua ya wahenga kwa kila jambo, mafunzo yao mengine hayana mpango au yako nusu nusu yanaweza kukuingiza matatizoni, ila point ya kumpa shibuda mkoa bado ina utata, ila uzuri ni kwamba ana kaimu
mpe mchawi akulelee mtoto bwana
 
Kwa nini ulitumia lugha chafu pale mwanzo, unatingisha kiberiti kwanza sio
nimeeleza yote haya si kwa chuki na shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...

Mbona unajihami hivi ;ulitaka atkoee

marangu
rombo mashati
rombo masuruali
sanyajuu
sanya chini??wapen nafasi wajichagulie hata wangechagua yoyote kuwaongoza

ndugu naona unazidi matusi
kivipi utuone watu wa shinyanga kuwa tunaweza ongozwa na bata?????????????????????? Bata atakuongoza wewe na mkeo na siyo sisi

(au unataka mfananisha shibuda na bata? Ndio anamatatizo yake ila sio kumwita bata.we hope he gona change kwani ameisoma namba bila kupenda)
 
Jana Baraza kuu la CHADEMA Mkoa wa Shinyanga limemtangaza John Magale Shibuda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga (Soma majira la leo).Habari hizi zilinishtua kidogo nikawa na maswali machache:
Kweli Shibuda ametubu na kuutii uongozi wa Taifa chini ya Mh Mbowe.??
Je,Shibuda ataacha kutofautiana na viongozi wenzake hasa wabunge??
Si ni Shibuda huyuhuyu aliyekashifu wabunge wa Chadema bungeni??
Si ni Shibuda huyuhuyu aliyesema Mh Wenje hana adabu??
Si ni Shibuda huyu huyu aliyesema Chadema ni mkusanyiko wa wanaharakati wasio wanasiasa??
Je,Shibuda si alileta vurugu kwenye vikao vya wabunge wa Chadema huko Bagamoyo??
Ikumbukwe Shibuda ni mbunge pekee wa jimbo ambaye hakupewa wizara kivuli bungeni.

Nimeeleza yote haya si kwa chuki na Shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...

Mambo mengine bwana,yanashangaza sana.Hivi tuseme CDM Shinyanga hawaelewi kwamba Shibuda ni stooge ambaye yuko CDM ili kuimaliza.Ujinga mwingine bwana kazi kweli kweli.Au CDM Shinyanga majority ni mapandikizi?
 
Shibuda akaimu tu wakati uchunguzi wa kina ukifanyika juu yake. Nionavyo mimi ni mzuri kwa sababu yeye ni kiboko ya akina Mgeja wa CCM hapo Shy, lakini upande wa pili haya matamshi yake ya kukikebehi Chama na baadhi ya viongozi wenziwe ndo nashindwaga kumuelewa (ashakum si matusi), sababu hiyo akili inakuwa kama vile ya mvuta ban*** huyu Mzee wetu!
 
Nakubaliana na wewe, ni kweli kiboko ya CCM(wenzake wakati huo akiwa huko) ni huyu Bwana, na kama kweli itakuwa hizo 'chembechembe za kijani' zinaisha mwilini mwake,itakuwa bora sana,..maana kwa siasa za Shinyanga huyu Shibuda ni jembe kali...ukiongeza na mzee mmoja anaitwa Selasini...mambo yanasonga!tuombee tu(narudia tena)'chembechembe za kijani ziwe zimeisha kwa huyu mzee wa misimamo-Shibuda..
 
Mchawi mpe mwanao akulindie!!!!!!!!!! Wewe vipi banaa??????????

Jana Baraza kuu la CHADEMA Mkoa wa Shinyanga limemtangaza John Magale Shibuda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga (Soma majira la leo).Habari hizi zilinishtua kidogo nikawa na maswali machache:
Kweli Shibuda ametubu na kuutii uongozi wa Taifa chini ya Mh Mbowe.??
Je,Shibuda ataacha kutofautiana na viongozi wenzake hasa wabunge??
Si ni Shibuda huyuhuyu aliyekashifu wabunge wa Chadema bungeni??
Si ni Shibuda huyuhuyu aliyesema Mh Wenje hana adabu??
Si ni Shibuda huyu huyu aliyesema Chadema ni mkusanyiko wa wanaharakati wasio wanasiasa??
Je,Shibuda si alileta vurugu kwenye vikao vya wabunge wa Chadema huko Bagamoyo??
Ikumbukwe Shibuda ni mbunge pekee wa jimbo ambaye hakupewa wizara kivuli bungeni.

Nimeeleza yote haya si kwa chuki na Shibuda bali changamoto kwake kwamba alikuwa amepoteza imani na wanachama wengi kwa matendo yake yasiyotabirika na anapaswa kurejesha heshima yake kwa kutii viongozi wa chama na wabunge wa chama chake...
 
CDM hawana viongozi zaidi ya wakina Shibuda, sasa wakimtoa Shibuda unataka ww ndio uwe mwenyekiti ili hali huwezi? Hongera Shibuda , wavue magamba na wenzako kwa kuwaambia ukweli

GENIUSBRAIN Umemjibu vizuri sana huyo...Inahuuu! Kwa kuongezea tu Shibuda hata wafanyeji ndo kishaupata uwenyekiti.Kwanza atapita bila ya kupingwaTENA Wasije kulogwa wakapeleka Gamba lao SHINYANGA watahaibika.....
 
Back
Top Bottom