Shibuda atangaza kuihama CDM leo hii

Status
Not open for further replies.
ni bora kuwa na wabunge wawili wenye msimamo kuliko kuwa na wabunge mia wasio na msimamo.
Maneno yake makali aliyokuwa akiyatoa bungeni kuhusu ccm kuwa ni chama kilichooza na hakifai utetezi wake wa kupigania posho na usaliti wake ndio vitakavyomuangamiza labda aache siasa kabisa.

ni bora cdm kiwe na bila katibu mkuu kuliko kuwa na slaa anayetupa matumaini hewa kwa kuropoka kwenye vyombo vya habari, kisha kesho anakanusha..anatoa habari mpya tena haahaaa cdm mna kazi.
 
Kama kuna mwanasiasa uchwara anayekipaka matope Chama cha wananchi na wenye nchi(CHADEMA) ni huyo Shibuda. Sijui kwanini wanachelewa kumtimua!
 
Shibuda ni sumu CDM hatadumu anaharufu za magamba amsubirie samweli sita anzishe ccj ahamie ndio kinamfaa kwa sasa
kwani tetesi ndo ukweli au ni umbea unaokaribia ukweli na baadae unaweza kuwa kweli au ukafa..na swala la shibuda ameisha zoea kuhamahama la ana asili ya ufugaji..
 
Kama kuna mwanasiasa uchwara anayekipaka matope Chama cha wananchi na wenye nchi(CHADEMA) ni huyo Shibuda. Sijui kwanini wanachelewa kumtimua!
mkuu hili swala lako umeshalipeleka cdm au ndo limeishia humhumu jf..
 
ni bora cdm kiwe na bila katibu mkuu kuliko kuwa na slaa anayetupa matumaini hewa kwa kuropoka kwenye vyombo vya habari, kisha kesho anakanusha..anatoa habari mpya tena haahaaa cdm mna kazi.
mkuu kwa hiyo sasa kinachohitajika ni nini sasa baada ya kugundua hilo na huwa jamaa yupo jamvini mara kibao kwanini usimuulize au ipost kwenye wall yake ya fb?
 
Mwaka 2009 wakati Shibuda ana play ile joke ya urais dhidi ya JK kwenye thread hii,
Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla - Page 7 ...
Nlicomment hivi
Mhe. Shibuda hata wilayani havuki nadhani hata ubunge CCM ndio bye bye, "huyu ni boya tuu kwenye maji linaelea, au ubua, unapulizwa tuu na upepo unaanguka, au kama ni mti, basi ni mpapai, tena mpapai dume, haufai kwa kivuli, kwa kuni na tena wala hauzai matunda"

Kwa upande wa Zanzibar, Sio siri, 'Dr. Bilal is the best President Zanzibar can have as a nation', ila kwa vile Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ni JMT ndio inadetermine nani aiongoze ZnZ kwa maslahi ya Muungano ndio maana siku zote, Maalim anapokwa tonge mdomoni, Dr. Bilal mhafidhina, Nahodha haaminiki sana, Khatib yuko too ambitious, hivyo the next ZnZ pres ni Dr.Shein, hana makuu au Dr. Mwinyi, mtake msitake. .

Kwa kuzingatia msimamo wangu huu kumhusu Mheshimiwa huyu, lolote atakalosema, au atakalofanya, hakutakuwa na chochote cha kushangaza, kwa mtu wa aina yake, tutegemee nini?.
 
Mwaka 2009 wakati Shibuda ana play ile joke ya urais dhidi ya JK kwenye thread hii,
Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla - Page 7 ...
Nlicomment hivi

Kwa kuzingatia msimamo wangu huu kumhusu Mheshimiwa huyu, lolote atakalosema, au atakalofanya, hakutakuwa na chochote cha kushangaza, kwa mtu wa aina yake, tutegemee nini?.

Tunaona mnaongea sana kuhusu Shibuda lakini hatuoni maamuzi yoyote kutoka uongozi wenu vipi, wanamuogopa? Sisi tunawaomba sana mfukuzeni chama tukachukuwe jimbo letu.
 
mbona inashindikina? SHIBUDA kwa kauli yake amesema...yeye ni kama gogo/mti wa udi ukichomwa japo hutoa majivu lakini hunukia na kuleta harufu nzuuuuri sana...WENYE MASIKIO WAMESIKIA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom