Shibuda ajichimbia kaburi lake

Wanabodi..
John Shibuda ni miongoni wa wabunge wa Chadema ambao anatengwa na wenzake.

Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu, Slaa, kumtenga kwa kutomshirikisha katika shughuli zozote za chama zikiwemo za kampeni.

Miongoni mwa shughuli kadhaa za kisiasa viongozi wakuu wamefanya bila kumshirikisha tangu awe mbunge ni pamoja kutomshirisha katika kampeni Igunga.

Walimtenga kwenye msafara waliokwenda kumuona Rais Kikwete Ikulu, na kutomshirikisha katika msiba wa mbunge mwenzake Regia Mtema.

Mwaka 2010 Shibuda alichangia kwa kiasi kikubwa Chadema kuzoa karibu majimbo 10 kanda ziwa, kusema ukweli huyu hapaswi kuwa mwanasiasa wa kupuuzwa kiasi hiki.

Chadema wana majimbo Maswa Mashariki na Magharibi, wana Bukombe, Meatu, Ilemela, Nyamagana, na Ukwerewe hata jimbo la Musoma mjini linatokana na nguvu yake na ushawishi mkubwa aliyekuwa nao kanda ya ziwa.

Mkoa wa Shinyanga ambao Shibunda anatoka una wabunge wanne wa Chadema, ambao kimsingi walipatikana kutokana ushawishi wake.

Wewe moungo kabisa......msibani tulikuwa naye.....na ni mgonjwa wa shingo sasa utampaje shughuli za mikikimikiki?
 
Shibuda akipewa nafasi ya kuongea ni hatari mno. Anapanga maneno kwa kutumia kiswahili cha pwani ambacho kimenyoooka vyema na ana uwezo wa kushawishi. Nadhani ni mbunge pekee kwa CDM aliyetumia muda mfupi sana kupiga kampeni na kushinda.

Tatizo lake kwa CDM ni kwamba ni mkweli. Wakati wenzake wantaka jamii iamini kuwa hawataki posho za vikao huku mioyo yao ikipambwa na maua wakati wa kuchukua posho, yeye akasema hadharani kwamba anazitaka na anataka ziongezwe. Basi kwa kusema ukweli wake wa moyoni Mzee wa Ujira akaonekana adui.

Mkuu Kimbunga,
Wanakosea sana kumtenga Shibuda, Mbowe aligoma kabisa kufanya kazi za kibunge na Shibuda, hivi kweli wizara kivuli 20 zilizopo hata moja wameshindwa kumpa Shibuda, wamewapa wabunge wengine hata uwezo hawana, mpaka kuna waziri kivuli mmoja wa Chadema aliachia ngazi kutokana na uwezo wake mdogo.
 
Wanabodi..
John Shibuda ni miongoni wa wabunge wa Chadema ambao anatengwa na wenzake.

Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu, Slaa, kumtenga kwa kutomshirikisha katika shughuli zozote za chama zikiwemo za kampeni.

Miongoni mwa shughuli kadhaa za kisiasa viongozi wakuu wamefanya bila kumshirikisha tangu awe mbunge ni pamoja kutomshirisha katika kampeni Igunga.

Walimtenga kwenye msafara waliokwenda kumuona Rais Kikwete Ikulu, na kutomshirikisha katika msiba wa mbunge mwenzake Regia Mtema.

Mwaka 2010 Shibuda alichangia kwa kiasi kikubwa Chadema kuzoa karibu majimbo 10 kanda ziwa, kusema ukweli huyu hapaswi kuwa mwanasiasa wa kupuuzwa kiasi hiki.

Chadema wana majimbo Maswa Mashariki na Magharibi, wana Bukombe, Meatu, Ilemela, Nyamagana, na Ukwerewe hata jimbo la Musoma mjini linatokana na nguvu yake na ushawishi mkubwa aliyekuwa nao kanda ya ziwa.

Mkoa wa Shinyanga ambao Shibunda anatoka una wabunge wanne wa Chadema, ambao kimsingi walipatikana kutokana ushawishi wake.

mtu yoyote anayeandamana na CCM huwa anapoteza thamani .. mi kama JK alivopoteza thamani 2010 mapka akalazimika kuiba kura vibaya sana ili ashinde urais tena....so jibu la kwa nini shibuda hana thamani liko wazi sanaaaa.sikutegemea ungeweza kuuliza swali hilo ..
 
Kosa kubwa la Shibuda ndani ya Chadema ni msimamo wake kukataa kumsusia Rais Kikwete wakati alilizindua bunge la sasa mjini Dodoma. Na sakata la posho.
sasa kumbe unajua kosa lake kwanini asitengwe kwa usaliti huo?
 
Kosa kubwa la Shibuda ndani ya Chadema ni msimamo wake kukataa kumsusia Rais Kikwete wakati alilizindua bunge la sasa mjini Dodoma. Na sakata la posho.

siuseme tu kosa lake ni kukataa kumsusia baba..
 
Shibuda akipewa nafasi ya kuongea ni hatari mno. Anapanga maneno kwa kutumia kiswahili cha pwani ambacho kimenyoooka vyema na ana uwezo wa kushawishi. Nadhani ni mbunge pekee kwa CDM aliyetumia muda mfupi sana kupiga kampeni na kushinda.

Tatizo lake kwa CDM ni kwamba ni mkweli. Wakati wenzake wantaka jamii iamini kuwa hawataki posho za vikao huku mioyo yao ikipambwa na maua wakati wa kuchukua posho, yeye akasema hadharani kwamba anazitaka na anataka ziongezwe. Basi kwa kusema ukweli wake wa moyoni Mzee wa Ujira akaonekana adui.

hahahahaha! mkuu acha masiala bana, shibuda ni msaliti, hata sera za CDM kipindi cha uchaguzi ni kutoa posho zote, shibuda hakulijua hilo?
 
Hata wewe Ritz huna thamani kwa vile unaambatana na magamba.Kwa jinsi CCM ilivyokosa thamani yeyote anayeiunga mkono hana maana yotote,
 
Shibuda hajatengwa ila amepewa nafasi ya kufanya kazi aliyotumwa na CCM kwa uaminifu kabisa kupitia tiketi ya CDM. Hii ni pamoja na kuunga mkono na kupitisha miswada mibovu inayoletwa bungeni na mawaziri wa JK. Hivi ni nini zaidi mlitaka afanye?
 
Mkuu Kimbunga,
Wanakosea sana kumtenga Shibuda, Mbowe aligoma kabisa kufanya kazi za kibunge na Shibuda, hivi kweli wizara kivuli 20 zilizopo hata moja wameshindwa kumpa Shibuda, wamewapa wabunge wengine hata uwezo hawana, mpaka kuna waziri kivuli mmoja wa Chadema aliachia ngazi kutokana na uwezo wake mdogo.

Alipokuwa kwenu ugambani (CCM) mlimpa wizara gani?
 
Mkuu Kimbunga,
Wanakosea sana kumtenga Shibuda, Mbowe aligoma kabisa kufanya kazi za kibunge na Shibuda, hivi kweli wizara kivuli 20 zilizopo hata moja wameshindwa kumpa Shibuda, wamewapa wabunge wengine hata uwezo hawana, mpaka kuna waziri kivuli mmoja wa Chadema aliachia ngazi kutokana na uwezo wake mdogo.

Ni kama serikali ya CCM ilivyowapa uwaziri wabunge wengine ambao kwa kweli ni bure kabisa. Wewe unawajua na hakuna haja ya kuwataja kwani nao wanajijua. Tatizo mawaziri zaidi ya 50% wa serikali ya CCM wana uwezo mdogo sana kuiongozi lakini hawajijui na wakiambia wanagoma kuachia ngazi. Mfano rahisi kabisa ni hawa wa wizara ya Afya.
 
Shibuda bado hana nguvu kama unazodhani ww! mimi nipo mwanza kanda ya ziwa hapa wala watu hawamtambui shibuda wamemuweka pembeni kabisa,kwa taarifa yako watu wameamua kuwa ktk mabadiliko ya kweli hii wala haihitaji mtu kama shibuda wa nn! tatizo bado ana damu ya kijani huku ss tunaangalia chama kipi kinawasemea wananchi basi.
 
Wanabodi..
John Shibuda ni miongoni wa wabunge wa Chadema ambao anatengwa na wenzake.

Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu, Slaa, kumtenga kwa kutomshirikisha katika shughuli zozote za chama zikiwemo za kampeni.

Miongoni mwa shughuli kadhaa za kisiasa viongozi wakuu wamefanya bila kumshirikisha tangu awe mbunge ni pamoja kutomshirisha katika kampeni Igunga.

Walimtenga kwenye msafara waliokwenda kumuona Rais Kikwete Ikulu, na kutomshirikisha katika msiba wa mbunge mwenzake Regia Mtema.

Mwaka 2010 Shibuda alichangia kwa kiasi kikubwa Chadema kuzoa karibu majimbo 10 kanda ziwa, kusema ukweli huyu hapaswi kuwa mwanasiasa wa kupuuzwa kiasi hiki.

Chadema wana majimbo Maswa Mashariki na Magharibi, wana Bukombe, Meatu, Ilemela, Nyamagana, na Ukwerewe hata jimbo la Musoma mjini linatokana na nguvu yake na ushawishi mkubwa aliyekuwa nao kanda ya ziwa.

Mkoa wa Shinyanga ambao Shibunda anatoka una wabunge wanne wa Chadema, ambao kimsingi walipatikana kutokana ushawishi wake.

Hakuna anayemtenga yeye mwenyewe ndio kajitenga..... mfano ni pale wabunge wa CDM walipoamua kutaka posho zipunguzwe na hatimaye kuondolewa kabisa, shibuda ni mbunge pekee wa CDM aliyepinga auli hiyo kwa vitendo kabisa sasa hapa utasema katengwa...

Mfano mwingine ni pale CDM ilipokataa kuhudhuria hotuba ya bunge yeye kajifanya kihere here. Ila kikubwa ambacho Ritz na wana CCM hawataelewa ni kuwa sera za CCM ni tofauti na CDM sasa inapotokea mtu hataki kuacha utamaduni wa ubinafsi kwa kiongozi yeyoe ndani ya CDM hawezi kudumu lazima ataonekkana anatengwa lakini ukweli ni kwamba anajitenga...

Nipe mfano wa mambo ya msingi ambayo Shibuda anasimama kama mwana CDM.... Posho anataka ziongezwe hata mara kumi ikiwezekana..... Bado anaifagilia CCM kama mzazi wake.....

Note: CDM itabidi ijifunze 2015 watakuwa wengi sana na tusiwape nafasi, wapeni vijana ambao ni nguvu ya mabadiliko hivi vizee ni vibaraka vya CCM, wawe wanachama lakini wasifiki kugombea pindi tu wanapohamia CDM wanabadilisha mwelekeo wa Chama.
 
Ninachoweza kukwambia ambacho Watanzania wanapaswa kukijua kuhusu Shibuda na Chadema, ni nguvu ya siasa ya Shibuda.

Nguvu hiyo inawatisha viongozi wa Chadema wanajua umhimu wake kisiasa katika kanda ya ziwa.

Na hiyo ndio inayompa jeuri na kibuli Shibuda kuwadharau, na wenyewe wanajua kwamba anawadharau sana, kumfukuza kama wengine hawawezi.

Wakifanya hivyo ndio utakuwa mwisho wa Chadema katika mikoa yote ya kanda ya ziwa.
 
Mtoa mada mwenyewe ritz!!!! Nan kakuambia shibuda katengwa??
1. Wakati wa kampen za igunga,shibuda alikuwa akitetea kiti cha udiwan shinyanga,nan kakuambia wabunge wote wa cdm walishiriki igunga??
2.mbowe kuteua mawaziri vivuli,kwani wabunge wote wa cdm walichaguliwa kuwa mawazir vivuli???
3.kwenda ikulu,unataka kuniambia cdm nzima ilienda ikulu kasoro shibuda?
Usitake kutudanganya watz wa leo sio wajana
 
Ninachoweza kukwambia ambacho Watanzania wanapaswa kukijua kuhusu Shibuda na Chadema, ni nguvu ya siasa ya Shibuda.

Nguvu hiyo inawatisha viongozi wa Chadema wanajua umhimu wake kisiasa katika kanda ya ziwa.

Na hiyo ndio inayompa jeuri na kibuli Shibuda kuwadharau, na wenyewe wanajua kwamba anawadharau sana, kumfukuza kama wengine hawawezi.

Wakifanya hivyo ndio utakuwa mwisho wa Chadema katika mikoa yote ya kanda ya ziwa.

Hivi si ulishamwambia Mkandara kwamba wewe siku zote utakuwa upande ambao uko against CHADEMA? sasa hapa unataka kupoteza muda wa nani wakati wewe kila ukiamka unatafuta against CHADEMA points ili kuja kuwapotezea watu muda wa kujadili vitu vya maana!!
 
Drogba wa siasa za Tanzania na msaidizi wa karibu sana wa Salmin Amour. Toka lini simba akawa kondoo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom