Shibuda aitangaza West Afrika akiwa Dominica

haya bibie nashukuru maana yanatusitiri hasa sisi wanaume tukiona watu wema/wazuri kama wewe basi kunakuwa na ile hamu ya kuongea kidogo
 
Nani aliyekudanganya:
mama+shein+4.jpg

IMG_1895.jpg

kikwete+lipumba+seif+1.jpg

220px-Kanzu.jpg

PENGO.JPG

Bishop-Placidus-Nkalanga-OSB-with-Kardinal-Policarp-Pengo-Archibisho-Norbert-Mtega-Abbot-Thdeus-and-Fr1.-Alcuin-Nyirenda-OSB..jpg

avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
 
Hizo ni fashen tu tofauti lakini zote kanzu, hata ukitembea mitaani leo utakuta wanavaa kanzu tofauti kwa mikato, mishono, lakini zote kanzu tu.

Na hilo ndiyo vazi letu la Taifa kwa wanaume kwani linakubalika na dini zote, tabaka zote, hazijalishi maskini wala tajiri.

Basi ni vazi la dunia maana hayo makundi yaliyo livaa yanapatikana ulimwenguni pote
 
Mbona sijawahi kumwona akivaa vazi hilo hapa Tanzania, hapa yupo na kaunda suti tu, iweje anunue vazi la Afrika Magharibi anapoenda central Amerika, maana yake hana msimamo siyo? Mgona Slaa, Lisu na Mbowe mahakamani wanavaa shuka za kimasai? Ningempongeza angevaa lile vazi la wamang'ati wa Singida angetuwakilisha vizuri kiutamaduni.


Kavaa kwa sababu ya baridi sasa kuna ubaya gani ?
 
This is a non issue wakuu. Kwa hiyo angevaa suti mgesema anatangaza nchi za Ulaya na Marekani? Au kila viongozi wanapo vaa suti linakua ni vazi la wapi?
 
Tanzania hatuna vazi maalumu ambalo linatuwakilisha, siku zote tumekuwa wakuiga mavazi ya tamaduni za wenzetu.Hii hajaanza leo hata enzi za Mwalimu Nyerere pia kuna wakati alikua akivaa mavavi ya Afrika Magharibi. Ukanda wetu wa Afrika Mashariki hatuna vazi lasmi lililokubakirika kama kielelezo chetu. Tukiacha ushabiki tujitanzame sisi wenyewe nguo tulizovaa kuanzia nguo ya ndani hakuna hata moja inayowakilisha utanzania/uafrika mashariki.Hivyo Shibuda kuvaa Kiafrika Magharibi akiwa nje ya bara la Afrika; kaonyesha Uafrika wake,kuliko angetinga na suti au dengirizi ingekuwa vigumu kumtambua kama anatoka Afrika.
 
Ok Shibuda kawakilisha West Afrika, hao wengine wanawakilisha tamaduni za wapi?
 
Mbona sijawahi kumwona akivaa vazi hilo hapa Tanzania, hapa yupo na kaunda suti tu, iweje anunue vazi la Afrika Magharibi anapoenda central Amerika, maana yake hana msimamo siyo? Mgona Slaa, Lisu na Mbowe mahakamani wanavaa shuka za kimasai? Ningempongeza angevaa lile vazi la wamang'ati wa Singida angetuwakilisha vizuri kiutamaduni.
huyo ndo alivo kigeugeu
 
Back
Top Bottom