Shibuda ageuza bunge sehemu ya mipasho!

Shibuda kwa uzoefu wake wa siasa mnafikiri amekurupuka? Anajua anachofanya,nilishasema nia njema ya cdm inaweza kufika wakati umma usiwaelewe kwa mikanganyiko kama hii tena ya wazi mno na utovu wa nidhamu uliopitiliza,kama nyerere aliona cdm kama chama makini wakati ule hakijawa popular hivi,wasione haya kubaki wabunge 2 lakini wanasimamia wanachoamini.aaaaghrr zile kauli kidogo nianguke,cdm safisha mamluki tusichanganye wananchi.
 
[QUOTE=Butola;1612631]Ametoa angalizo kwa Wabunge Vijana kujifunza kwa Wabunge waliodumu kwenye siasa muda mrefu, amewaonya kuwa kama hawatafanya na kuendelea na wayafanyayo sasa wataishia kuwa Wabunge wa miaka 5 tu na kisha kupotea kwenye ulingo wa siasa.[/QUOTE]

Ushauri huo unaweza ukafiti katika siasa za zamani si hii utakuwa unawapotosha. Siasa za sasa ni juhudi ya mwanasiasa binafsi kutumikia wananchi wake, zamani ilikuwa ina hitajika fadhila ya mkubwa wako kisiasa zaidi.
 
Jamaa hana tofauti na mzee Yusuf, Hukujenga hoja bali alitoa misemo na nahau zilizojaa maneno ya kugeuzageuza kama msoma riwaya.
 
shibuda ana bahati kubwa, nimeongea na mjumbe mmoja wa kamati kuu ya chadema, wao wanasema watu kama shibuda wanapaswa kuwa tu chadema kwa kuwa ndo chama cha kidemokrasia, hawakusudii kumtupa anatekeleza demokrasia. mkumbuke kuwa ccm walimshindwa
 
Wamfukuze tu, wasingekuwa vijana wala asingepata ushindi,na angegombea kupitia chama tofauti na CHADEMA leo hii hasingekuwa bungeni. Wamuondoe haraka la sivyo atakiua chama.

Kumuondoa inawezakana ndicho anachotafuta ili afikie malengo yake watch out.
 
shibuda ana bahati kubwa, nimeongea na mjumbe mmoja wa kamati kuu ya chadema, wao wanasema watu kama shibuda wanapaswa kuwa tu chadema kwa kuwa ndo chama cha kidemokrasia, hawakusudii kumtupa anatekeleza demokrasia. mkumbuke kuwa ccm walimshindwa
Mkuu siasa ni sayansi na sio nadharia tu.dunia nzima ipo hivyo na ccm wanatoa tafsiri yao ya maendeleo tunaimba nao,tafsiri ya amani,na sasa siasa na itikadi wanatafsiri negatively.cdm wakimlea shibuda tusubiri!
 
Watu wengine wapumbavu sana... Mbona ccm wanafanya mipasho ham semi acheni mambo ya kipumbavu

hana flow ambayo ni well organised katika speech zake, na huwezi kutambua anazungumza nini hasa. Kuna wakati anaonekana anasifia sera za sisiem wakati huo huo anabadilika na kujiweka neutral, mara anapondea vijana...yaani vurugu tupu.
 
Mkuu yalikuwa mashairi huku akishangiliwa kwa nguvu sana na watu wa CCM hata kupata flow yake na kuipresent ni ngumu kidogo lakini ukweli hakuongea vyema.
Kwa nilioyaona mimi, Shibuda sio mpinzani, CDM wawe wanaangalia watu wa kuwaingiza kwenye chama, huyu shibuda ana damu ya ccm kwenye mishipa yake na amesema hatabadilishwa na mtu. CCM wanamshangilia kwa kuwa na wao ni watu wa mipasho.
Nimesikitishwa na kauli za kibabu Cheyo, sikilaumu kimeshapata atrophy ya neurons zake za ubongo hakiwezi kuwaza tena, Mungu akirehemu.
 
kiricho mwagwajalalani hakifai kwamatumizi yabinadamu cdm ilomsishangae ukipendavyakuokotaokota jiandae na marazi ya yakuhala mfupauliomshinda fisi ataukitiya limau hauivi muliona wenzenu hawajuwi kumtumiya?
 
tatizo lako una ashumu kuwa wote tumesikiliza bunge. unatakiwa utoe mada na ufafanuzi.
 
kilichonishangaza mimi ni kutumia muda wote aliopewa kurusha vijembe bila kuchangia hoja muhimu ya vipa umbele vya rais.
 
Kambi ya CDM imeanza kwa kususua, wakati wenzao wamepania kuwaonyesha kuwa si lolote si chochote, wenyewe wameamua kuwa "apologetic". Hilo litawamaliza. Jambo lingine litakalo imaliza CDM ni kutowachukua hatua dhabiti watu kama Shibuda ambaye dhahiri kwake yeye CDM ameitumia kama ngazi ya kupata ubunge, vinginevyo yeye ni CCM damu damu.
 
Tokea mwanzo hata leo na kesho sikuwa na imani na shibuda kama ni mmoja wa wanaotaka kuona kinaeleweka. Kwa ufupi huyu mheshimiwa ni msanii ambae amejaliwa kuunyonga ulimi wake. He could turn out to be a disappointment in the long run
 
ccm walimtosa akaingia chadema,keshapata ulaji wa kibunge ,je inawezekana kwa chama kumvua mtu ubunge?
 
mkubwa akikomba mboga haambiwi ka kakomba ila tunasema kaipenda mboga.............lakini leo tunasema haiwezekani hawawezi wakawa wanakosea afu wasiambiwe,ukweli huwa sifichi,shibuda ni snitch
 
Sijapata kuona kitu kama hiki, mbunge kutumia muda mwingi kukibomoa chama chake. Kutokana na comments alizotoa Mheshimiwa inaonyesha anaamini ya kuwa CCM ndio chama bora, na kama hivyo ndivyo, jee anafanya nini CHADEMA?

Lema amepewa muda wa kujieleza, kwa nini Shibuda asisubiri mpaka Lema atoe ushahidi wake ndio aanze kumwaga upupu wake? This guy is plainly an idiot who sadly happens to be a MP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom