Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Mbunge wa Maswa Magharibi(CHADEMA) John Shibuda amesema mtindo wanaotumia CCM kujivua gamba, ni sawa na mtu kujimwangia poda kuondoa harufu ya jasho aliyonayo.
Pia, Shibuda aliwataka watanzania kutafakari kwa makini, mwenendo wa CCM kwa sababu ni gari bovu, kama hawana mizingo ndani yake ni bora kuachana nalo na kupanda jipya ambalo ni CHADEMA.
Akihutubia mkutano wa hadhara jimbo la Busega juzi shibuda alisema haiwezekani watangaze kujivua gamba wakati watanzania wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha na kwamba, huo ni usanii ambao kiongozi mwenye mamlaka ya kuletea nchi yake maendeleo, hapaswi kufanya.
Shibuda alisema CCM haitaki ustawi wawanachi wake ni kama katiba ya nchi inavyotamka, bali inataka ustawi wa wawekezaji ambayo ni kinyume na katiba.
Upendo wa CCM kwa wananchi ni michango, ambayo wanaihalalisha kwamba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, Ilhali zahanati hazina vitanda na wagonjwa wanalala kwenye chaga alisema shibuda.
Aliendelea kuwa CCM ni maprofesa wa uongo, huku akiwataka wananchi kuwa makini kupembua mbinchi na mbivu, kwa kujiunga kwenye chama cha wokovu na kuachana na Agano la kale.
Kuhusu elimu ya uraia Shibuda alisema kuwafundisha wananchi elimu ya uraia ni sawa itawafungua macho na kwamba ndiyo maana CCM haitaki kufanya hivyo ikihofia kuondolewa madarakani.
Uchafu wa CCM unanikumbusha maneno ya Baba wa taifa (Hayati Mwalimu Julius Nyerere) aliposema upinza wa kwali utatoka ndani ya CCM, hilindiloninalolifanya mimi ni mbengu inyopandwa na chadema, ni mbegu ambayo itazaa matunda bora, Shibuda alisema CCM inakumbatia wawekezaji haramu na kusahau wazalendo, huku ikiwakwamisha kwa kuwapandishia kodi..
Source: Mwananchi
*********************************************************
Kwa kasi hii CHADEMA mpaka kufika 2015 viongozi wa CCM wenye vitambi watapungua maana mashambulizi ni kila kona .