Shibe

hakuna kama mama.imagine hata midume pamoja na ndevu zao kama sio mama kuvumilia ukimpiga mateke tumboni miezi sita msingekuwepo.

Kupata mimba na kujifungua ni wajibu wa mwanamke aliopewa na Mungu. Akijifungua na kutupa mtoto kama walivyofanya wa Mwananyamala Hsp, hataachwa-atashughulikiwa mpaka ajute kwa nini alipenda kusikilizia ma zeutamu kisha matokeo yake anayakataa! Hapa dume lake halihusiki.
 
Back
Top Bottom