Shetani akanusha!!

Jayfour_King

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
1,135
128
Inasemekana kwamba hivi karibuni Mungu alimuita Shetani na akamuuliza kwanini unaendelea kupotosha watu wangu kwa dhambi?

Shetani akajibu ni kweli Mungu kwa baadhi ya mambo naomba radhi ila wanachofanya sasa hivi sio mimi kwani hizi sasa ni dhambi mpya!

Mungu akamuuliza ni dhambi gani hizo ambazo unasema wewe huhusiki nazo?

Shetani akajibu, mimi sijawafundisha kuchunana ngozi hata mimi nashangaa hili wamelitoa wapi kwani hata mimi pia linanitisha!
 
mambo mengi sana binadamu anayofanya sasa yanamshangaza shetani...kukujuza tu ni kwamba shetani anamuogopa binadamu siku hizi kama ukoma...na anashangaa sana ni wapi alipolemaa tukamfunika namna hii
 
mambo mengi sana binadamu anayofanya sasa yanamshangaza shetani...kukujuza tu ni kwamba shetani anamuogopa binadamu siku hizi kama ukoma...na anashangaa sana ni wapi alipolemaa tukamfunika namna hii
Dont tell me Preta!..didnt know this..huh!
 
mambo mengi sana binadamu anayofanya sasa yanamshangaza shetani...kukujuza tu ni kwamba shetani anamuogopa binadamu siku hizi kama ukoma...na anashangaa sana ni wapi alipolemaa tukamfunika namna hii

Nasikia anashaangaa hata watu kulana tigo wamelitoa wapi
 
Ni kweli shetani anashangaa maana wanadamu siku hizi tumekwa balaa, muogope binadamu kama ukoma.
 
Shetani ni Baba wa Uovu. Hakuna tendo wala dhambi yoyote ambayo mwanadamu kaianzisha mwenyewe. Dhambi zote hutoka kwa yule mwovu, ambaye kila kukicha anagundua uovu wa aina mpya ambao utamkasirisha zaidi Mungu. Nawashangaa mnaomtetea shetani ili hali lipo wazi kwamba kazi ya kupotosha ulimwengu ndiye anayeifanya. Au mna mikataba naye, hivyo mnajaribu kumsafisha???
 
Shetani anaona kila baya mfanyalo ni HAJUA.
ana vitu kibwena anataka mfanye lakini nyie mnaishia kuchunana ngtu
 
Nikweli jamaa ibilisi anashangaa kuona wafuasi wake wanatenda maovu zaidi ya alivyofikiria.
Ni hapo sasa huyo ibilisi na mabest wake siku ya mwisho watakapokuta moto unawaka kuliko walivyofikiria. Mungu atusamehe sote midhambi yetu.
 
Hapana mzee mwenzangu tigo walikulana toka enzi za lutu,katika miji ya sodoma na gomora,
hadi mibasha ile ya miji ile ikataka kuwala tigo malaika wa mungu,soma biblia
 
Shetani ni Baba wa Uovu. Hakuna tendo wala dhambi yoyote ambayo mwanadamu kaianzisha mwenyewe. Dhambi zote hutoka kwa yule mwovu, ambaye kila kukicha anagundua uovu wa aina mpya ambao utamkasirisha zaidi Mungu. Nawashangaa mnaomtetea shetani ili hali lipo wazi kwamba kazi ya kupotosha ulimwengu ndiye anayeifanya. Au mna mikataba naye, hivyo mnajaribu kumsafisha???
Mawazo mazuri mkuu, lakini ukumbuke kwenye mambo ya imani hakuna kampeni mambo huenda otomatiki. Na hivyo hasafishwi mtu hapa!!
 
anashangaa pia jinsi wanawake walivyokusanyana beijing wakalamba maposho chekwachekwa na kisha kuja na mpango wa kumsahihisha Mungu katika masuala ya jinsia!!!!!!
 
nasikia anaomba kwa mola eti sisi ndo tunastahili kuwa mashetani na yeye kuwa mwanadamu
 
Shetani hamlazimishi mtu kutenda uovu bali mwanadamu kwa hiari yake mwenyewe anatenda dhambi na kumsingizia shetani kuwa kamdanganya.

Mrudieni Mungu wetu kwa kufunga na kulia na kuomboleza, irarueni mioyo yenu na wala si mavazi yenu. Hivyo Bwana atagairi maovu dhidi yetu na kuturehemu.
 
Back
Top Bottom