Sheria zinazolinda watoto

Glory91

Member
Jul 9, 2012
21
1
Habari zenu wana JF,
Naomba kuuliza sheria inasemaje kuhusu watoto wanaonyanyaswa na mama zao wa kambo?
Yaani asubuhi nimeamshwa na kelele za mtoto aliyekimbilia kwa jirani kujificha asipigwe na mama
yake wa kambo ambapo pia hakupata msaada kipigo kiliendelea humo ndani kwa watu.Mimi nadhani ni haki mzazi kumwadhibu mtoto wake lakini kuna kipimo si mpaka utoe damu na bado unadai utaua.Nimeulizia kwa majirani wanasema ni kawaida kwa huyo mtoto kupigwa na hakuna wa kuingilia sababu mama ni kama mbogo na baba yake hasemi neno mbele ya mama.Naomba msaada jinsi ya kumsaidia mtoto huyu.
 
ni kosa kwa mtu yeyote kumnyanyasa mtoto kwa namna yoyote. tafuta the law of the child act 2009
 
Habari zenu wana JF,
Naomba kuuliza sheria inasemaje kuhusu watoto wanaonyanyaswa na mama zao wa kambo?
Yaani asubuhi nimeamshwa na kelele za mtoto aliyekimbilia kwa jirani kujificha asipigwe na mama
yake wa kambo ambapo pia hakupata msaada kipigo kiliendelea humo ndani kwa watu.Mimi nadhani ni haki mzazi kumwadhibu mtoto wake lakini kuna kipimo si mpaka utoe damu na bado unadai utaua.Nimeulizia kwa majirani wanasema ni kawaida kwa huyo mtoto kupigwa na hakuna wa kuingilia sababu mama ni kama mbogo na baba yake hasemi neno mbele ya mama.Naomba msaada jinsi ya kumsaidia mtoto huyu.
Oh my God how can a woman be cruel even if the child is not hers? wht the fault of the child to be born? if u can pls help the child in any how God will bless you me sjui sheria pls
 
Back
Top Bottom