Sheria ya Wafanyakazi wa Serikali kutojihusisha na Siasa na kwa Vyama vya upinzani tu

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Kweli Mabadiliko ya katiba Tz ni ya muhimu mno.Ukiwa mfanyakazi wa Serilaki na ukawa Front line kwenye Chama Cha Mapinduzi,hakuna atakaye kusumbua na kila atakaye jifanya kiherehere kukufatafata,hiki ya Mungu hana Bahati,cha moto atakiona...
Ila usiombe uwe Front line CDM au CUF na ugundulike,kwanza utaitwa kwa Mkurugenzi kama ni muajiliwa Halmashauri,utapigwa mkwara,na ukikaa vibaya kazi huna...
Why is like that?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom