Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Katika kipindi cha kuandaa katiba mpya nchini Tanzania kama mhimili wa dola,na vyombo vingine vya serikali pamoja na wananchi. Ni vema watanzania tukapendekeza sheria ya uchaguzi iwe kama ifuatayo 1)kila mwananchi aliyejiandikisha kwenye daftar la kudumu la wapiga kura ni lazima apige kura 2)mwananchi yeyote atakayeacha kupiga kura atakabiliwa na faini ya shilingi za kitanzani 90elf 3)atakayeacha kupiga kura wawe na sababu za msingi 4)wasimamizi wa mchakato huu watakuwa wenyeviti wa kata na vijiji nk NAWASILISHA!