Sheria ya NGO 2002 inafanya kazi?

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Wana JF ninapenda kujua kuwa sheria ya NGO ya mwaka 2002 inafanya kazi na je kama inafanya kazi ni vipi kumekuwa na NGO nyingi ambazo ni briefcase, yaani watu wanaandika plan zao wanapeleka kwa wafadhili then wanavuta mamilion ya pesa. Je kuna mtu NGO Act 2002 as Ammended in 2005 aiweke hapa jamvini?. au ani PM
 
Back
Top Bottom