shaibu membe
New Member
- Jan 5, 2016
- 1
- 0
mh hatar
Ambae anaona hizi sheria ziko sawa kichwani ana matope (kusema hivi tayari nishavunja kipengele kimoja na naweza kwenda jela mwaka au kulipa fine isiyopungua three million).Unaona ilivyo rahisi kumfunga mtu. Siamini walikaa wabunge na wao kwa akili zao kabisa wakapitisha haya madudu. Hii ni dictatorship kabisa, sijaona HATA KIMOJA ambacho ni right kuhusu hiyo sheria, em aliyeona kipengele ambacho kinasaidia bila kukandamiza aniambie isije kua nimeruka mambo ya msingi.
Naona ni muda sasa inabidi watu tuungane kuipinga hii ifutwe kabisa au ifanyiwe marekebisho.
Ukisoma vizuri hiki kimeseji tu tayari mtu anaweza jipanga akanifunga maana hata identity tu nayotumia sio jina langu halisi.
Hii ilikuwa muhimu kwa ccm ili kuzuwia watu wasiseme tunaibiwa kura.MSIJALI HII SHERIA ILIPANGA KULINDA UHUNI NA UHALIFU WA WATU FULANI FULANI WA CCM NA INAPIGWA VITA NA DUNIA NZIMA, IKO KINYUME NA UHURU WA KUNENA, NA ITAFUTWA
Hii ilikuwa muhimu kwa ccm ili kuzuwia watu wasiseme tunaibiwa kura.
kwao mafisadi ni miungu yaoKama Serikali ya ccm ingekuwa inatunga sheria kali kwa mafisadi, asingebaki hata mmoja. sheria zao kandamizi ni kwa walala hoi