- Thread starter
- #21
Mara nyingi nimeona hili likifanyika hivyo...kuwashirikisha ndugu wa 'baba'...yaani hata kama 'baba' amekataa lakini kama mwanamke anao uhakika juu ya 'baba wa mtoto' na anawajua ndugu zake basi kwa namna moja ama nyingine atajitahidi mtoto ajue nasaba yake.
Labda pengine katika maelezo yako hukuweka bayana circumstances za huyo baba kukataa ujauzito/mtoto. Kwa uzoefu wangu mwanaume yoyote anaweza kukataa ujauzito/mtoto kutegemeana na circumstances zilizopo....hata ndani ya ndoa kuna wanaume wanaweza kukataa ujauzito/mtoto.
Sio kitu kibaya kwa mtoto kujua nasaba yake hasa kwa case yako ambapo inaonekana huna doubt yoyote kuhusu baba wa mtoto (Umesema hapo mwanzo jina la mzazi mwenzako liliwekwa kwenye cheti cha kuzaliwa) pamoja na kuwa baba alikataa. Linapokuja suala la malezi ni vema zaidi kutizama maslahi na mustakabali wa mtoto kabla ya nyinyi wazazi.
Sina doubt kuhusu nani ndo mzazi mwenzangu, but kila mtu anajinsi ya kureact to situations, na my way was kama amekimbia mimba,it means hana time na sisi, alikuwa na time for 12 years now, but its too late.Aliyenibebesha mimba ni yeye na ndugu zake wamepata ripoti kama walikuwa interested na mtoto angalau hata moja wao would have come kumwona mtoto.So kwa nini niwe na time nao? infact nimempa heshima kumweka kwenye cheti, In short simuitaji katika maisha yetu tena, mimi sio binti tena kusema nitarudiana nae, I am mature and have moved on,hiyo ilikuwa mapenzi ya ujana.NNshukuru Mungu mtoto wangu hakosi chochote kwa hiyo maslahi yake is taken care of , I am sure hata hapa JF kuna watu hawajawahi kuishi na one of their parents, and still life never stopped