Sheria ya Kazi Tanzania

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
Wandugu nina hali mbaya mwajiri wanagu anataka kunipiga chini kazi. Naombeni mwenye nakala ya sheria ya kazi Tanzania aiweke jamvini ni-download na kujisomea ili nizijue haki zangu katika kipindi hiki kigumu.

Website ya wizara ya kazi nimejaribu kudownload lakini cheche.

Mods please subirini kwanza kuhamisha hii kitu. Jukwaa la siasa lina watu wengi zaidi kulinganisha na majukwaa mengine.

pPa tunaeza kuendelea kupeana tips za namna ya kukabiliana na hali ngumu huko mbeleni.

Nawasilisha.
 
usihangaike nenda jukwaa la sheria kuna topics nyingi za sheria za kazi zikiwa na sheia zimeambatanishwa.utaweza kupata.
 
Usiwe na presha. Ni ukasubiri ukapigwa chini kwanza. Hapo ndio utaangalia kama taratibu zimefuatwa au hazikufuatwa.
 
Back
Top Bottom