Sheria ya Kazi pale mwajiri anaposhindwa kuhudhuria CMA

kind2

Senior Member
Mar 6, 2016
102
45
Wakuu naomba kujuza. kume kuwa na kawaida kwa waajiri kupuuzia summos wanazopewa kuhudhulia usuruhishi CMA hivi sheria inasemaje kwenye hili naomba kujuzwa.
 
Sheria ktk upande wa mabaraza haina makali ....ni kiwa na maana ya kwamba inachukuliwa km ni usuluhishi pande zote mnatikiwa kushiriki kwa hiyari bila shurutisho lolote...
Kwa maana hiyo km kuna shurutisho kwa upande moja unaweza usitoe ushirikiano kamilifu ili maafikiano na usuluhishio upatikane.
Hivyo ni jambo la ku act voluntarily. So hakuwezi kuwa na summons, wito kumcommand mtu au vinginevyo.....dhana nzima ya usuluhishi inawapa pande zote mbili uhuru mkubwa.

Lkn kwa stail hiyo kesi yenu haitapata muafaka mzuri..nafikiri ikishindikana watatoa certificate ya kushindikana kwa hilo jambo...then kutakua na uwezekano wa kukata rufaa kwenda mahakamani.....huko sasa utaona sheria ikichukua mkondo wake ipasavyo.
 
Tafadhari naomba msaada mwajiri anapaswa kuchukua hatua gani kwa mtumishi mbaye ameshiriki vitendo vya kugushi na kumuibia mwajiri wake fedha. Aidha shauri la jinai bado kwenda mahakamani? Taratibu zinasemaje?
 
Kesi itasikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa ..madai yako yakiwa sawa basi atatakiwa kutekeleza hukumu.na akishindwa basi hukumu hukaziwa eidha kukamata mali ya mshitakiwa au hata kumpeleka jela ,lakini kwa gharama zako
 
Anza na polisi...Kungushi na wizi ni makosa ya jinai...hivyo basi mwajiriwa atashtakiwa na jamhuri.km utapata prosecutor mzuri Kwenye majumuisho ya kesi ataiomba mahakama iamuru alipehizo mali alizoziiba, gharama na hasara aliyokusababishia.

Asipofanya uombe nakala ya hukumu ya hiyo kesi ambayo utaitumia kufungua kesi ya madai kuimba mahakama iamuru mshtakiwa akulipe hasara aliyokusababishia au kurudisha mali nk...unaweza kufanya hivyo ht kama mshtakiwa atakuwa kifungoni.
 
Na sheria inasema nini kwa muajiri kuajiri mtumishi Mwenye vyeti feki
 
Anza na polisi...Kungushi na wizi ni makosa ya jinai...hivyo basi mwajiriwa atashtakiwa na jamhuri.km utapata prosecutor mzuri Kwenye majumuisho ya kesi ataiomba mahakama iamuru alipehizo mali alizoziiba, gharama na hasara aliyokusababishia.

Asipofanya uombe nakala ya hukumu ya hiyo kesi ambayo utaitumia kufungua kesi ya madai kuimba mahakama iamuru mshtakiwa akulipe hasara aliyokusababishia au kurudisha mali nk...unaweza kufanya hivyo ht kama mshtakiwa atakuwa kifungoni.
Mtu hawezi kuadhibiwa mara 2 kwa kosa moja (lilelile)
 
Yah ni Kweli ...hukumu ingeweza kutoa adhabu kwa kosa la jinai vilevile damages kwa huyo muajiri....ss km mwajiri hajapewa damages zake haki yake haiwezi potea ...so anatumia hukumu ile kuonyesha uhalali au ground ya ku claim damages zake.....lkn pia....
Mtu akifanya battery mfano umempiga mtu akikushaki kwa tort utamlipa "damages" pia jamhuri ikikushitaki uta tumikia kifungo that is adhabu mbili nadani ya kosa 1.......

Kmbk....ni tofauti na issue ya res judicata
 
Okay, lakini mtu unapofungua kesi si huwa unakua unadai haki yako iliyominywa iweze kurejeshwa! Kwa hiyo mimi naona wakati wa kufanya submission ilitakiwa huyu mtu aombe vitu anavyotaka mahakama imfanyie..kama hakuomba kuhusu mali zake kurejeshwa basi njia sahihi ingekua ni kukata rufaa dhidi ya adhabu (sentence) sababu kwenye madai huyu mtu anaweza kuchallenge value nk maana kilichomtia hatiani kule ni kughushi (bila kujali thamani ya alichokipata kutokana na kughushi huko)...hivyo kama umeipeleka kwenye jinai inatakiwa imalizike kijinai..

Pili kuhusu kesi za namna uliyotoa mfano (battery).. Inakua ina forum 2, kama tort (civil) au kama jinai, sasa unatakiwa kuchagua forum moja maana pindi ukifungua kwenye moja hutaweza kushtaki kwenye nyingine kwa kosa lilelile..
Ukifungua kwa criminal shahidi wa prosecution ni yule aliefanyiwa kitendo, huyuhuyu shahidi tena ndie akafungue kesi ya tort, haitakua sawa..therefore inatakiwa mtu achague where to go, isipokua sehemu ambapo mtu huwa naona anawajibishwa mara 2 ni kwa mtumishi wa umma, akiwa na kesi ya ubadhirifu ambayo ikafunguliwa na jamhuri na akashinda au akashindwa huwa haimzuii mwajiri wake kumfungulia huyu mtu kesi ya kitumishi... I stand to be corrected though
 
Kesi itasikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa ..madai yako yakiwa sawa basi atatakiwa kutekeleza hukumu.na akishindwa basi hukumu hukaziwa eidha kukamata mali ya mshitakiwa au hata kumpeleka jela ,lakini kwa gharama zako
Sasa kama mwajiri kaona hana ushahidi wa sababu za msingi za kumuachisha kazi mwajiriwa "Unprocedural" & "Unfair termination"na alipoitwa mahakamani akaona aombe mediation ili aongee pembeni na mwajiriwa ambaye ndiye aliyefungua shauri. Baada ya mediation wakakubaliana pande zote mbili mwajiri amlipe mwajiriwa sum of shs... na mwajiri akakubali kulipa a stated sum in a specific period of time 21days,waka seal kwa ku-sign both sides kwenye settlement ducument. Mwajiriwa akapewa mediation certificate halafu akaelekezwa na mahakama wakimlipa apeleke taarifa kuwa mgogoro wao umeisha.

Ikafika two months hajalipwa mwajiriwa wala mwajiri hapokei simu, wala hafanyi mawasiliano na mwajiriwa. Mwajiriwa akaenda highcourt labor division kukazia hukumu huko ndiyo Msajili hakuweza kutoa maelekezo kama uliyoshauri ya kukamata mali za mwajiri ili kumlipa mwajiriwa kama makubaliano yao ya CMA. Na mwajiri ana mawasiliano mazuri na Msajili kiasi cha kufanya maairisho ya kutoa tamko la execution kufanyika yapata miaka minne sasa tangu shauri hilo lifunguliwe na kukwamia mikononi kwa msajili wa mahakama kuu kitengo cha kazi na mwajiri. Je hapo wajuzi wa sheria mwajiri afanye nini tena?
 
Okay, lakini mtu unapofungua kesi si huwa unakua unadai haki yako iliyominywa iweze kurejeshwa! Kwa hiyo mimi naona wakati wa kufanya submission ilitakiwa huyu mtu aombe vitu anavyotaka mahakama imfanyie..kama hakuomba kuhusu mali zake kurejeshwa basi njia sahihi ingekua ni kukata rufaa dhidi ya adhabu (sentence) sababu kwenye madai huyu mtu anaweza kuchallenge value nk maana kilichomtia hatiani kule ni kughushi (bila kujali thamani ya alichokipata kutokana na kughushi huko)...hivyo kama umeipeleka kwenye jinai inatakiwa imalizike kijinai..

Pili kuhusu kesi za namna uliyotoa mfano (battery).. Inakua ina forum 2, kama tort (civil) au kama jinai, sasa unatakiwa kuchagua forum moja maana pindi ukifungua kwenye moja hutaweza kushtaki kwenye nyingine kwa kosa lilelile..
Ukifungua kwa criminal shahidi wa prosecution ni yule aliefanyiwa kitendo, huyuhuyu shahidi tena ndie akafungue kesi ya tort, haitakua sawa..therefore inatakiwa mtu achague where to go, isipokua sehemu ambapo mtu huwa naona anawajibishwa mara 2 ni kwa mtumishi wa umma, akiwa na kesi ya ubadhirifu ambayo ikafunguliwa na jamhuri na akashinda au akashindwa huwa haimzuii mwajiri wake kumfungulia huyu mtu kesi ya kitumishi... I stand to be corrected though
Sajo nakubaliana na ww 100% ....tukirudi ktk mazingira ya Kwanza prosecutor ndio amesahau kuweka majumuisho ya hasara ya mwajiri, haikuzuii ku claim damages...as long as utaieleza mahakama sababu ya kufanya hilo.....ila km yangejumuishwa ktk kesi ya jinai thn kucngekua na ulazima huo
 
Back
Top Bottom