Sheria ya katiba kurudishwa bungeni kwa ajili ya marekebisho

SOURCE, MORNING MAGIC GUMZO. gumzo la leo limejadili kuwa swala la kurudishwa bungeni kwa sheria ya kujadili katiba mpya, ifanyiwe marekebisho. je kulikuwa na umuhimu gani wa raisi kuwa na haraka ya kusign mswada wa sheria kabla ya kusikiliza maoni ya wananchi na vyama vingine?
kama ingekuwa kusign hati ya vita au mkataba muhim wa nchi, hapo si nchi ingeingia matatizoni?
NAWASILISHA.

Ww umejiunga juzi juzi tu JF , watakiwa kujifunza kwanza ku post thread zilizo kwenda shule kuliko kukurupuka. Kaa kimya ujifunze kwanza ulicho leta ni upupu hakuna kitu hapo, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap!

 
Back
Top Bottom