Sheria ya Hifadhi ya Jamii ilipitishwa kwa mfumo huu kweli!

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10

wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua

sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita kwa style hii...!!

kwenye mechi iliyotangazwa jana napendekeza pia mashindano ya nani bingwawaa kuuchapa usingizi pia utaratibu huu pia uanzishwe
 
Back
Top Bottom