Sheria ya Haki Miliki, wanachotaka wasanii kitatufunga wote!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Uswe, Apr 16, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Kuna mtu anakua interviewed TBC anasema mchakato wa kupata sheria mpya ya haki miliki kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii imefikia sehemu nzuri sana, jamaa anadai mapendekezo ya wasanii ni kwamba si tu muuzaji wa kazi feki ila hata yule aliyenunua kazi feki nae atiwe hatiani.

  my take:
  Kama sheria itakua hivyo kweli basi wengi watafungwa, si kwa sababu watu wanapenda kununua kazi feki ila kwa sababu wengi hawawezi kutofautisha feki na hizo wanazoziita original
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,730
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 63
  Na wao inabidi walipe kodi,feki hauwezi kudhibti,wanaibiwa kina tom cruise wanaibiwa kina jayz ndio itakua juma nature na ray?
   

Share This Page