Sheria ya ajira inasemaje juu ya vyama vya wafanya kazi? Ni hiari ama lazima?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya serikali ameshangaa kukuta kwenye risiti ya mshahara makato ya CWT CONTRIBUTION wakati hajawahi kuomba wala kujiunga na chama hicho. Kuna sheria ya kumwunganisha mtu kwenye chama bila kumshirikisha? Nadhani limewatokea na wengine. Afanyeje kama hayupo tayari?

Nawasilisha.
 
Mkuu Sirluta naomba kuongezea hapo hapo pia kwa makampuni binafsi inasemaje sheria kuhusu hivi vyama kwa mfano TUICO, je ni lazima kujiunga.

wajuzi karibuni mtusaidie.
 
Kimsingi nadhani hii ni haki ya mfanya kazi, sas sijajua vizuri inavyo fanya kazi. Chukua mfano wa haki ya binaadam ya kuishi ni lazima au uamuzi?
 
Back
Top Bottom