Sheria mpya ya mafao inawahusu pia kwa wabunge vijana

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Wabunge vijana wote watakapomaliza miaka mitano,ambao watakuwa hawajafikisha
miaka 55 ni vema na wao wasilipwe mafao yao mpaka watimize umri huo.Maana kama
hata wale vibarua wanaofanya kazi kwa mkataba,wakimaliza mkataba wao hawawezi
kuchukua visenti vyao mpaka wafikishe umri huo,nafikiri hii sheria pia inawahusu wabunge.
Nawasilisha.......
 
Unashauri?
Unauliza?
Unawasilisha?

Kwa sababu umeona itakugusa umelipuka enh!! wakati mnaitikia ndioooooo......hamkuwaza
kabisa juu ya watanzania tuliowatuma huko tutaumizwaje na hii.Shame on u all"
 
Back
Top Bottom