Sheria Mpya ya Mafao Haiwagusi Wabunge na Viongozi Wengine Wakubwa?

wikolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
800
270
Wana JF,

Nimedokezwa kuwa sheria mpya ya mafao ina kifungu cha 43 (6) ambacho kinasomeka kama ifuatavyo:

''This act shall apply to a person or employee employed in the formal or informal or self-employed in the mainland Tanzania and shall not apply to a person who has been insured or registered under any other law.''

Alichonieleza mdokezaji wangu ni kwamba kifungu hiki kinawaondoa wabunge na viongozi wengine wa juu katika ile kadhia ya kusubiri hadi miaka 55 au 60. Kwa maana hiyo, wabunge kwa mfano, wakishamaliza ile miaka 5 watachukua pesa zao kama kawaida.

Kuna mwenye kujua zaidi juu ya hili?
 
Mkakati unaandaliwa na wadau wote kuungana na kuanzisha mtandao wa kupiga kura za hasira kwa walio madarakani..wafanyakazi wote na wategemezi wao wote tupate wapiga kuura 6mil tu, wote wanaochezea pesa za jasho letu watatoka kwa aibu na kutuachia nchi yetu na serikali mpya itakayoweza kuboresha maslahi na mafao yetu!

Wanachezea pesa kwenye miradi yao ya siasa kesho wanazuia pesa zetu milele hadi miaka 55?hawajamshirikisha mdau yeyote,nani amewapa mamlaka hayo?

Wanasema madai migodi,hivi wafanyakazi ni migodi tu?? Watajuta kukurupuka
 
Wana JF,

Nimedokezwa kuwa sheria mpya ya mafao ina kifungu cha 43 (6) ambacho kinasomeka kama ifuatavyo:

''This act shall apply to a person or employee employed in the formal or informal or self-employed in the mainland Tanzania and shall not apply to a person who has been insured or registered under any other law.''

Alichonieleza mdokezaji wangu ni kwamba kifungu hiki kinawaondoa wabunge na viongozi wengine wa juu katika ile kadhia ya kusubiri hadi miaka 55 au 60. Kwa maana hiyo, wabunge kwa mfano, wakishamaliza ile miaka 5 watachukua pesa zao kama kawaida.

Kuna mwenye kujua zaidi juu ya hili?

Ebanaa dah hili linawezekana kabisa,ndio maana kwa wepesi kabisa wameamua kupitisha mswaada kandamizi kama huu...
 
Kwenye sheria hiyo kuna kifungu chochote kinachoelezea namna gani amount itakavyokokotolewa na kupata kiasi stahiki cha kumlipa mtu wakati amefikisha miaka 55? Kwa mfano - leo hii nina miaka 25 na kazi imeisha wakati nina milioni 3 NSSF. Baada ya miaka 30, pesa yangu itakuwa ''imekua'' kwa kiwango kile kile (in terms of value)?
 
Mkuu pesa ni ile ile hata kama utafikisha miaka 55 baada ya miaka 40. Tena unapewa pesa yako bila riba ikiwezekana utaipata baada ya kufurumishiwa mabomu ya machozi na virungu vya FFU kama wastaafu wa East African Community.
 
Mkakati unaandaliwa na wadau wote kuungana na kuanzisha mtandao wa kupiga kura za hasira kwa walio madarakani..wafanyakazi wote na wategemezi wao wote tupate wapiga kuura 6mil tu ,wote wanaochezea pesa za jasho letu watatoka kwa aibu na kutuachia nchi yetu na serikali mpya itakayoweza kuboresha maslahi na mafao yetu!wanachezea pesa kwenye miradi yao ya siasa kesho wanazuia pesa zetu milele hadi miaka 55?hawajamshirikisha mdau yeyote,nani amewapa mamlaka hayo?wanasema madai migodi,hivi wafanyakazi ni migodi tu??watajuta kukurupuka

Mdau thanx alot kwa taarifa, kweli wakati umefika wa sisi wafanyakazi kuamka sasa, kwanza jamaa alishasema hahitaji kura zetu.
 
modes naomba mturuhusu tutukane hapa at least tuonyeshe hasira zetu,hawa vilaza magamba wanakera sana...yaani wao wamejiexclude??????:frusty:
 
kama kuna mwenye marekebisho ya sheria (soft copy) aturushie tuione hapa tafadhali?
 
Kama nitashindwa kuandaa maisha yangu nitakapokuwa mzee je fijifedha hivi vitanifaa nini at 55 or 60? Wakati fulani nasema ni hiyo tu ni sheria kukatwa Social Security contributions ila kama sivyo kuna wengine kwa nature ya ofisi zetu tungeweza ku-invest na kufanya kitu.

Kwa mfano ninakofanya kazi tuna SACCOS ambayo kama fedha inayoenda NSSF ningeweka kama mchango kwenye SACCOS ningekikuta ndani ya miaka miwili nimeweka michango ya kutosha kiasi cha kuweza hata kukopa 15M na kufanya kitu cha maendeleo kuliko fedha hizi kukaa NSSF na kuwanufaisha wao huku nikilanishwa kufikia 55....

Wakati mwingine nalazimika kuwaza hii mifuko iwepo kwa WALE WAZEMBE AMBAO HAWAWEZI ANDAA UZEE WAO LEO WAWAPO VIJANA WAKINGOJA HADI WAWE WAZEE WAJIPANGE MISTARI NSSF kuomba fedha za kuendeshea uzee wao.... KATI YA YOTE, SAUTI KWA WANACHAMA NI LAZIMA, tusiende kwa kuburuzana, TUPEWE SAUTI YA KUAMUA
 
Mkuu pesa ni ile ile hata kama utafikisha miaka 55 baada ya miaka 40. Tena unapewa pesa yako bila riba ikiwezekana utaipata baada ya kufurumishiwa mabomu ya machozi na virungu vya FFU kama wastaafu wa East African Community.

Sasa huu ni us....nge aisee. Wabunge walikuwa wapi wakati huu upuuzi unapita? au haikusomwa bungeni?
 
ymani hilo limeshapitishwa sasa tunaomba solution tufanye nn ili tulizuie?
 
Ebanaa dah hili linawezekana kabisa,ndio maana kwa wepesi kabisa wameamua kupitisha mswaada kandamizi kama huu...[/FONT]

walijua wakichanganya na wabunge basi haitapitishwa bungeni...yaani nchi kuna tabaka mbili...serikali na wananchi hizo ni vitu viwili tofauti kabisa coz wao wanaendelea kupeana wakati wanazidi kuchukua hiki kidogo cha kwetu
 
Sasa huu ni us....nge aisee. Wabunge walikuwa wapi wakati huu upuuzi unapita? au haikusomwa bungeni?
hata me nashangaa hawa wawakilishi wetu walikuwa wap? na mpaka leo siku ya nne hakuna hata mmoja aliyelitplea ufafanuzi hapa...Hakika wametusaliti na wanastahili adhabu...
 
Nafikiri inatakiwa tena kwa amri waiondoe haraka sana hiyo sheria ya kihuni kwani hasira tulizo nazo hazipimiki. Ccm na kikwete wasiwafanye watz mazuzu kiasi hicho. Kwa suala hili ni bora serikali iendelee kuuwa watu kwa style ya dr. Ulimboka kuliko kujaribu kuchezea hela zetu kiasi hiko
 
wakuu nimechoka na hiyo newz... hawa jamaa hawatutakii mema... niliingia kwa hiari na NSSF sasa inakuwaje wanilazimishe kubaki milele... nikifa kabla sijafikisha hiyo 50-55 maana yake mafao yangu yamekwenda kwa mafisadi bure, jamani jasho la mtu linaliwa hivihivi??? hawa wabunge woote njaa na ubinafsi umewajaaa woote ni wakunyonga tuuu... hawana maana kabisa naskia ilipitishwa katika kikao cha mwezi april 2012....ndugu tuamke,,.... tunaibiwa kila sehemu sasa wengine tupo vikampuni binafsi leo upo kesho haupo unaajiriwa mwaka huu mwaka ujao haupo so hata hicho kidogo nilichokijenga kinachukuliwa tena..... daaah kweli lazima tufanye kitu watanzania... na hiyo sheria haiwagusi mawaziri wala wabunge... hata hao vigogo wengineo wa serikalio... naona jamaa wamejipanga kutukamua mpaka damu.... S....NZIIIII ZAO...... AJIRA ZENYEWE ZAKUUNGA UNGA HALAFU LEO WATULETEA UROFA... HATUNA RAISI WALA WABUNGE WOTE NI WASALITI WAKUBWA....
 
Wateuliwa wote, RCs, DCs na Wabunge hawaguswagi na sheria za Social Securty, muda wao wa kuwa kazini (kama ni miaka 5) huwa wanachukua kiinua mgongo chao.
 
hata me nashangaa hawa wawakilishi wetu walikuwa wap? Na mpaka leo siku ya nne hakuna hata mmoja aliyelitplea ufafanuzi hapa...hakika wametusaliti na wanastahili adhabu...

hatuna wawakilishi mkuu... Wote ni wezi na wasaliti tuu.. Wako pale kinjaa tu vyama vyote ni mafedhuli tu... Leo lao anzia serikali nikuona mtanzania anakufa maskini miaka 50 ya uhuru watu wanakufa hata kwa kukosa mlo mmoja tu kwa siku leo unapita majukwaani eti maisha bora kwa kila mtanzania... Huku unasaini masheria ya kishetani haya.... Nani mwenye uhakika wa miaka hiyo 50.... Mkataba wangu na mwajili wangu ni wa miaka 50???? Nadhani nchi imelaaniwa hii... Hv uliona wapi duniani jasho la mtu linaliwa hivi//// akhaaaaaraaaaaaaaa mpaka hasira wakuuuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom