sheria mkononi -jamaa chupuchupu kuchomwa moto!!!

Hawa hii ndiyo adabu yao....mimi ningekuwepo hapo ningeleta dumu la petrol!!
noooo! apelekwe mahakamani, huko atakutana na Pilato kisha kitaeleweka kama kuna ushahidi wa kuthibitisha wizi wake sio kumchoma moto. Mnaoshangilia mwisho mtachoma na wasio na hatia
 
Ikiwepo sheria ya wizi kukatwa mikono haya yasingetokea, leo watu wanapinga sheria za kukatwa mikono wanajitengezea sheria ya kuuwana. Hapo sasa!
uwe tayari pia kutoa fedha za matunzo na matibabu kuuguza kidonda. Dawa ni kutengeneza mazingira ya ajira kwa vijana ikiwa ni pamoja na kufufua viwanda ambavyo sasa ni makazi ya popo. Kilimo kipewe kipaumbele sio porojo. Kila sekta isimamiwe ipasavyo... MBONA WENGINE WAMEWEZA WHY NOT US? kukatana mikono NNNNNNNOOOOOOOOOOOOO!
 
nakubaliana na Faiza

nilikuwa Sudan,mda wa sala ukifika wale wabadilisha pesa wanayaacha ma USD yao na kwenda msikitini,hakuna wa kuyagusa,je hapa Tz unaweza acha pesa peupe tena USD na kwenda hata chooni?

sheria za wenzetu zinatekelezwa na zinajulikana hakuna mlolongo wa upelezi,umeiba ndio lete kiganja,umeiba tena ndio lete mkono hadi kinaeleweka

sasa hapa unakubaliana na FF kwa misingi ipi?
 
uwe tayari pia kutoa fedha za matunzo na matibabu kuuguza kidonda. Dawa ni kutengeneza mazingira ya ajira kwa vijana ikiwa ni pamoja na kufufua viwanda ambavyo sasa ni makazi ya popo. Kilimo kipewe kipaumbele sio porojo. Kila sekta isimamiwe ipasavyo... MBONA WENGINE WAMEWEZA WHY NOT US? kukatana mikono NNNNNNNOOOOOOOOOOOOO!

Wapi walipoweza?
 
Ikiwepo sheria ya wizi kukatwa mikono haya yasingetokea, leo watu wanapinga sheria za kukatwa mikono wanajitengezea sheria ya kuuwana. Hapo sasa!
al shabaab , boko haramu. nakumbuka ala shabaab walimpika bakora mama mmoja mwenye miaka zaidi ya 40 kisa alivaa sidilia
 
Nakubaliana na wewe FaizaFoxy lakin kwa hapa Tz sheria kama hiyo itawanyima wenye sheria haki za kuabudu. Wakin Camerun wataitumia kama kigezo cha kuukandamiza uislaam.
 
Hawa hii ndiyo adabu yao....mimi ningekuwepo hapo ningeleta dumu la petrol!!

Rejea, kwa nini usianze kuwachoma mafisadi (mabosi wako) ambao ndio wamekutuma hapa!!!!!

Tiba
 
noooo! apelekwe mahakamani, huko atakutana na Pilato kisha kitaeleweka kama kuna ushahidi wa kuthibitisha wizi wake sio kumchoma moto. Mnaoshangilia mwisho mtachoma na wasio na hatia

Hapana mkuu simwamini huyo pilato wako simwamini hata kwa bakora kuna kibaka yupo hapa nilipo mida hii anapiga mkwara kuwa katoka jela tena kwa kesi yenye ushahidi na hapa hivi anamsaka jamaa ambaye mwenyewe anasema kuwa ndiye mchawi wake. Anaapa kumchinja kweupe popote atakapomkamata. No mkuu I dare say no wachomwe. Ikibidi wayeyuke kabisa staki hata kuwaona wao pamoja na hao ma pilato wako wote wafe. Bora tu tuchomane moto!
 
yaani jamaa aliniacha hoi alipoomba fegi avute kwa mara ya mwisho.mimi nilitegemea aombe tasbii au rozari!

Ooh mr jack natamani ungekuwa unaishi huku ninakoishi mimi naamini ungekuwa na story tofauti usingekuwa na muda wa ku reply post mbili mfululizo bila kutoka nje ili kulinda usalama wa kifaa chako hicho no man no. Wafe kabisa. Bora fisadi tutsmjadili humu huku tukiwa na uhakika wa kuamka kesho tuendelee kujadili!sisi huku hatuna uhakika wa kuiona kesho. Mapanga bisbis nje nje serikali huku hamna. Ngoja kidogo ntakupa ushahidi wa haya
 
Ikiwepo sheria ya wizi kukatwa mikono haya yasingetokea, leo watu wanapinga sheria za kukatwa mikono wanajitengezea sheria ya kuuwana. Hapo sasa!
Duh, FF uko huku! angalia sana dada. Chukulia mfano wa hii sheria ya kubaka, unajua watu kibao wameshachukua mvua 30 while they are very innocent! Au huijui bongo ya visa hii? Take care dada.
 
Tatizo kubwa hapo huwa ni huo ushahidi unaohitajika kwa ukamilifu wake mimi walishanipora. Vibaka watatu tena wa mtaa huu huu wananijua ninawajua nilipoenda polisi. Mahakama ilinitaka nitoe ushahidi wa asilimia nyingi kuwa hawa walioko mbele yangu ndio walionipora. Nikasema nina uhakika. Mahakama ikataka tena nithibitishe. Kumbuka tulikuwa wanne tu wakati wa tukio. Yaani mporwaji mmoja yaani mimi na waporaji watatu ambao wote leo wapo hapa against me. Kweli nilikosa cha ziada huku tayari nikiwa na uhakika juu ya ushindi wa vibaka hawa walio mbele yangu ambao kwa asilimia mia. Ninajua na wajua kuwa walinipora. Hapo haki yangu ningepata wapi? Zaidi ya kusubiria mapanga mara tu baada ya kutoka hapa? Hapana mzee. Labda hayajakukuta ndio maana unawatetea vibaka hawa. Ni hatari kuliko al shabaab. Nipo radhi familia yangu ilale njaa wiki nzima. Ninunue petrol ya kumchoma mwizi. Bora mniache tu
 
hawa tunawaonea,watu wanaiba mamilioni ya fedha za uma,ila wanaachwa tu

Kwa hiyo aliyenichoma kisu na kuniibia 150 nimuache? Nikamtafute fisadi aliyeibia serikali bilions. Hapana huyu ndiye hatari zaidi. Pita mitaani ndugu mamia ya walalahoi wanakufa kwa kukatwa mapanga. Kuchomwa visu nk we. Hujaona hiyo? Sijui unaishi wapi!
 
Ooh mr jack natamani ungekuwa unaishi huku ninakoishi mimi naamini ungekuwa na story tofauti usingekuwa na muda wa ku reply post mbili mfululizo bila kutoka nje ili kulinda usalama wa kifaa chako hicho no man no. Wafe kabisa. Bora fisadi tutsmjadili humu huku tukiwa na uhakika wa kuamka kesho tuendelee kujadili!sisi huku hatuna uhakika wa kuiona kesho. Mapanga bisbis nje nje serikali huku hamna. Ngoja kidogo ntakupa ushahidi wa haya

mkuu ukitaka kuishi nao vizuri uwe unawatupia vibukubuku au unawanunulia viroba yaani utaishi tuuliivu kabisa
 
Back
Top Bottom