sheria mkononi -jamaa chupuchupu kuchomwa moto!!!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
wananchi wenye hasira wakiwa wamemzunguka kibaka aliyekamatwa mida ya alfajiri akifanya jaribio la wizi wa masofa. Photo-0076.jpg
 
Hawa hii ndiyo adabu yao....mimi ningekuwepo hapo ningeleta dumu la petrol!!
 
hawa jamaa wakikuotea utajuta.kamu huna hela wanaweza kutoa utumbo kwa bisibisi.
 
adhabu kama hii wangefanyiwa mafisadi wawili tu.. Nadhani hii serikali yetu ingenyooka. Hii nchi haiwezi kuendelea bila viboko!
 
Ikiwepo sheria ya wizi kukatwa mikono haya yasingetokea, leo watu wanapinga sheria za kukatwa mikono wanajitengezea sheria ya kuuwana. Hapo sasa!
NAMIMI NAPENDEKEZA IWEPO KWENYE MOJA YA VIAMBATA VYA KATIBA MPYA ILI TUSICHOMANE MOTO
:poa
 
Ikiwepo sheria ya wizi kukatwa mikono haya yasingetokea, leo watu wanapinga sheria za kukatwa mikono wanajitengezea sheria ya kuuwana. Hapo sasa!
iyo sheria ya kigaidi ikiwepo hapa tz, wa kwanza kukatwa mikono utakuwa wewe. kuna watu wanajifanya wasafi sana kumbe wanakula rushwa na mali za serikali zisizo halali maofisini....ukiona mtu anashabikia sheria hii ya kiislam ujue kichwani zimepungua 90%..poleee samaki pole, tunavyowageuzageuza...poleeee samaki pole, tunavyowabinuabinua poleee samaki poleeee. ukosefu wa elimu ni ukosefu wa nguvu katika nchi...
 
Mla na mpokea rushwa adhabu yake ni kifo, kukatwa mkono ni bora kuliko kuchomwa na matairi au wewe unaonaje?
 
Ikiwepo sheria ya wizi kukatwa mikono haya yasingetokea, leo watu wanapinga sheria za kukatwa mikono wanajitengezea sheria ya kuuwana. Hapo sasa!
jiulize kwa nini watu wajitengenezee visheria vyao.yawezekana tatizo sio uwepo wa sheria bali utekelezaji wake.
 
sikubaliani na wewe kwa sababu adhabu hii imekuwepo kwa muda sasa lakini vibaka hawaishi.

nenda mtaa wa congo pale alafu chukulia vijana wote wale wanafukuzwa wataenda wapi kama si kuvizia watu usiku? Asilimia 90 pale ukiwapeleka machinga complex watakuambia hatuna uwezo wa kulipia kodi maana ni kubwa.. Wakati huo huo kuna jitu limekula bilioni kadhaa ku-sign mkataba fulani mbovu. Si bora hiyo pesa ingeleta unafuu kwa wafanya biashara ndogondogo kuepukana na matatizo kama haya!
 
jiulize kwa nini watu wajitengenezee visheria vyao.yawezekana tatizo sio uwepo wa sheria bali utekelezaji wake.

Tatizo sio utekelezaji, tatizo aliyekuumba kakuwekea sheria wewe unajifanya mjanja kuzirekebisha, haya ndio matokeo yake.
 
Tatizo sio utekelezaji, tatizo aliyekuumba kakuwekea sheria wewe unajifanya mjanja kuzirekebisha, haya ndio matokeo yake.
tatizo ni utekelezaji!!hata tukitumia sharia bado kwa tanzania hii kutakuwa na wa kukatwa mikono(vibaka) na wale wengine wa kuombwa warudishe mali(mafisadi)
 
Tatizo sio utekelezaji, tatizo aliyekuumba kakuwekea sheria wewe unajifanya mjanja kuzirekebisha, haya ndio matokeo yake.

ukiiba unakatwa mkono, ukizini unakatwa dudu/kojoleo au? Ukiua na wewe unauwawa sio? Au unakatwa kichwa, which is different from kunyongwa hadi kufa!!?!?!
 
nakubaliana na Faiza

nilikuwa Sudan,mda wa sala ukifika wale wabadilisha pesa wanayaacha ma USD yao na kwenda msikitini,hakuna wa kuyagusa,je hapa Tz unaweza acha pesa peupe tena USD na kwenda hata chooni?

sheria za wenzetu zinatekelezwa na zinajulikana hakuna mlolongo wa upelezi,umeiba ndio lete kiganja,umeiba tena ndio lete mkono hadi kinaeleweka
 
Mla na mpokea rushwa adhabu yake ni kifo, kukatwa mkono ni bora kuliko kuchomwa na matairi au wewe unaonaje?

Nafikiri Viongozi wako wote wa CCM wasingekuwa na mikono, pamoja na Rais wako asingekuwa na mikono au asingekuwapo magogoni.
 
Back
Top Bottom