Sheria maalum kwa makampuni ya simu

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Waziri anayeusika na mawasiliano, nadhani muda umefika sasa wa kutunga sheria za kuyabana haya makampuni ya simu kwa kutuadaa wananchi na promotion hewa,
hawa vodacom wanasema fb na twitter bure bt still wanakata hela,
tigo ongea 1/4 sh kwa sekunde, wanakata zaidi ya hiyo.

Tunaitaji sheria sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom