Sheria: Kufanya mapenzi hadi na maiti!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Na sheria imeshatungwa inasubiri tu kupitishwa bungeni iwe ruksa kwa
mwanaume kufanya mapenzi na mkewe aliyefariki ndani ya masaa sita
baada ya kufariki. Ngoja tusubirie naona wamisri hawataki mzaha ktk
suala zima la maloveee!

Inawezekana hujasikia hii maneno lakini ukweli ndo huo. Very soon,
kama muswaada ukipitishwa basi wanaume watakuwa na uhuru wa 'kuwaaga'
wake zao wapendwa kwa kuwaachia 'vimiminika' walale navyo salama kaburini.

Usiku mwema wanajf!
 
Gross, I don't wanna think of it, this shit happens when men rule the world all they think ni matamanio yao!
 
binadam akiri sinapugua siku hadi siku, lakin ubaya hawatabui hilo sababu wamejaza vitabu kitchwani nkusema siku hizi tumeelimika nabusara.


cursed world
 
Back
Top Bottom