JamboJema
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 1,143
- 209
Wadau, kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu. Nimekabidhiwa hii ofisi ya serikali kuifungua. Haina muhuri hata mmoja! nimewaomba 'wakubwa' lakini inaonyesha sitapata hivi karibuni. Kwa kuwa shughuli zinahitaji kwenda napata mshawasha wa KUCHONGA mihuri husika. Instinct inaniambia sio sahihi kufanya hivyo. Naamini kuna sheria au mwongozo unaosimamia hili. Wale 'learned brothers/sisters' naomba mnipe mwanga kwenye hili nisipate kesi bure - najua ignorance of the law is not a defence!