SHeria inasemaje kuhusu kukojolea kitabu cha dini?

heshima yangu kwa jf inazidi kuongezeka kwa mambo kama haya.
kwa maana hiyo aliyekojolea msaafu ametenda kosa lakini na waliovunja makanisa na magari wana mashitaka ya kujibu pia lakini tofauti ni kuwa mmoja ana miaka 12 lakini wengine ni >18. Sasa napata picha

Tatizo la waislamu watataka walitafsiri hilo kosa pamoja na hukumu kwa mujibu wa vitabu vyao na sio sheria za nchi! Ikumbukwe pia vibaka na waporaji hawakosikani kwenye jamii yetu ,watakuwa walitumia mwanya huo huo kutekeleza malengo yao .Hakuna sheria ya nchi au dini itakayokuwa inabariki mtu kuidhalilisha dini nyingine, na hakuna pia sheria ya dini inayoelekeza kufanya wizi uharibifu wa mali za taasisi au mtu mwingine..
 
Jamani, ubishi wa watoto ndo makanisa yachomwe moto? Mie nadhani sheria ipo wazi. Tusimung'unyemung'unye!!

1. Kuchoma makanisa
2. Kuvamia kituo
3.Kutaka kuua
4.Kupora
 
Yote hayo ni makosa kisheria hivyo kama serikali ni sikivu kweli sheria itafata mkondo.

Jamani, ubishi wa watoto ndo makanisa yachomwe moto? Mie nadhani sheria ipo wazi. Tusimung'unyemung'unye!!

1. Kuchoma makanisa
2. Kuvamia kituo
3.Kutaka kuua
4.Kupora
 
Hasanteni wakuu, kwa michango yenu nimefaidika maana nimeweza kufahamu kuwa kuna vifungu vya sheria vinavyo govern mambo ya kidini.
 
Back
Top Bottom