Sheria inasemaje kuhusu kosa la kupiga.

Zabron Erasto

Member
May 29, 2011
47
3
Wanajamii rafiki yangu tuko nae kazini ameshitakiwa na mkewe kwa kosa la kupiga na kumjeruhi jino, jino limelegea. Yuko nje kwa dhamana. Je sheria inasemaje kuhusu adhabu ya mtuhumiwa. Ni kifungo cha muda gani ama faini kiasi gani? Je ni zipi haki za aliyejeruhiwa anazopaswa kulipwa? Je mshitakiwa anaweza kuepuka adhabu ya kifungo kwa kigezo cha mfanyakazi? Natanguliza shukurani.
 
Kumpiga mkeo au mtu yeyote ni kosa la jinai.upon being proved beyond reasonable doubt,can attract fine or imprisonment or both.kuwa mfanyakaz isnt a defence.though can be used as mitigatn factor
 
Ungekuwa mkweli kwa kusema ni wewe umempiga mkeo hadi kumng'oa jino ungepata msaada haraka. Mwanaume katili wewe!!!
 
Kweli huyu labda ni wewe mbona unataka jua haraka haraka?

Ukiulizia polisi watamwambia au kama ana lawyer wake.
 
that is a buttery.................lakini matatizo ka haya huwa yanaishia kwenye tribunal tu huyo mkeo nae mpana
 
mimi ningesema tu .Mwana CBE. bado natafuta mchumba ndani na nje ya forum. nahofia kumpoteza rafiki kipenzi.
 
mimi ningesema tu .Mwana CBE. bado natafuta mchumba ndani na nje ya forum. nahofia kumpoteza rafiki kipenzi.

Mshikaji wako noma....yaani mtoto wa kike kampelekea 'kerub' ya uso?! Yaani mkeo akikuhudhi saaaana akastahili kupiga, unamchapa vikofi vya 'masaburi' tu, baasi!
 
anaweza kufungwa kifingo kama cha miaka si zaidi ya saba. grievous bodily harm, angalia penal code utaona vizuri. however, kwasababu ya ni wanandoa, namshauri apeleke kwa maprosecutor ombi la kuomba kufuta kesi kwa sababu kuwa ameshapatana na mumewe na labda kwa minajiri ya watoto ili wasiathirike anaomba kesi ifutwe ili mumewe arudi home kulea watoto.kesi inaweza kufutwa kwa minajili kama hiyo. si shauru wanandoa wawe wanapelekana mahakamani na kwenda kutoa ushaidi ili mumewe au mkewe afungwe, watoto je? utalea peke yako? na ukifanya mchezo atafungwa kweli. kuhusu huyo aliyesema anaweza kupewa fine, labda kama atakuwa mahakama ya mwanzo ambako mimi penal code yao au mweneno wao ma mashitaka huwa siufuatilii sana, hapo hamna altenative ya fine, ni kifungu tu.
 
Back
Top Bottom