Sheria hizi!!! Ukiua unaachiwa

Aloysius

Member
Mar 1, 2011
80
9
Kuna kitu tukiita defence; sio kila anye Ua uadhibiwa; tunaangalia makusudi, je umekusudia au la! zifuatazo ni utetezi unaoweza kukuacha huru nakuacha watu wakisingizia rushwa:

1. Provocation (kutiwa hasira na aliyedhuriwa. 2. Mistake (kukosea mfano kukosea kufyatua risasi mtu ambaye akupaswa kwa kutokujua) 3. Insanity (wazimu wa muda) 3. Self and property defense (kujiami au kuami mali).
 
Usidanganye raia na watu wasiojua sheria, defence hizo ulizozitaja pamoja na nyingine hazimfanyi mtu aliyeua kuachiwa huru kama unavyotaka watu waamini bali effect yake ni kupunguza ukali wa kosa toka kuua kwa kukusudia ( murder) to a lesser offence of Kuua bila kukusudia
( manslaughter).
 
Kwa kuongezea Mwanzilishi wa thread hii amesema (uwazimu wa muda) ni vyema angetumia neno Uwazimu, manake wengine wanaweza wakaelewa kuwa defence hii inaaply kwa wale wa uwazimu wa muda tuu (temporal insanity) hata vichaa wa muda mrefu inaweza ikatumika kuwapunguzia makali ya kosa.
 
Fanya tafiti, utagandua kuwa manslaughter inaweza kumuacha mtu huru mpaka kumfunga maisha. Haujakosea hata hivo kuatahadharisha hao uliowaita "hawajui Sheria".
 
Defence yoyote ya murder haiwezi kumfanya mtu awe huru sana sana itapunguza adhabu toka kunyongwa hadi kifungo na nikisema kifungo kutok kifungo cha maisha mpaka kifungo cha masaa.

Kuacha huru kabisa haiwezekani, conditional discharge au absolute discharge ianwezekena.

Soma Vizuri
 
Pia, kwenye manslaughter kuna voluntary manslaughter na involutary manslaughter na zote hizi zina adhabu tofauti tofauti.
 
Kuna kitu tukiita defence; sio kila anye Ua uadhibiwa; tunaangalia makusudi, je umekusudia au la! zifuatazo ni utetezi unaoweza kukuacha huru nakuacha watu wakisingizia rushwa:

1. Provocation (kutiwa hasira na aliyedhuriwa. 2. Mistake (kukosea mfano kukosea kufyatua risasi mtu ambaye akupaswa kwa kutokujua) 3. Insanity (wazimu wa muda) 3. Self and property defense (kujiami au kuami mali).

Nadhani pa kuanzia ni kuthibitisha kuwa haya yametokea:
1. Mens Rea
2. Actus Reus
Ukisha thibitisha kuwa hayo yametokea/hayakutokea , then hapo unaanza ujanja wa kucheza na maneno- Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapo pekundu - nimeachwa kwenye mataa - nisaidie kwa kutumia lugha rahisi.

Hapo pa blue iwapo ni kweli - sijui nimshauri kijana wangu anayetaka kusomea sheria aachane nayo!
 
[/COLOR]

Aloysius saidia hapo pekundu.
Mwache kijana asome sheria. Shaaban Robert alisema hivyo katika kitabu chake kimoja-(nadhani ni kile cha maisha yangu na baada ya miaka 50?????-sina uhakika)
 
Hivi mumesahau kesi ya yule kijana hapo Kisutu yuko wapi sasa. Uelewa wangu ni kuwa anaweza kushikiliwa kama akiprove hizo defense vema kwa kumlinda yeye na sio adhabu, kama anaweza kuepusha kudhuriwa atakuwa huru.
 
Back
Top Bottom