Sherehe za miaka 48 ya Muungano 2012

Tunataka ziishe haraka ili Raisi arudi ikulu kuendelea kupanga mawaziri kwa ajuli ya baraza jipya hapo kesho. Vinginevyo faida ya sherehe zs leo zimemuingezea siku za uwaziri bwa Nundu na chami
 
Nasikia kwenye serikali ya Muungano status ya Shein ni kama ya Sofia Simba, ni kweli?

Hayo ni maneno ya mkata tamaa. Mwishowe utasema ni sawa na Mbowe'

ZANZIBAR NI NCHI, DR. SHEIN NI RAIS ANA MAMLAKA KAMILI NDANI YA ZANZIBAR
 
Kuna bendi ya kwaya iko jukwaani sasa hivi inamuimbia Kikwete pongezi za kuanzisha mchakato wa katiba mpya! Along with some other bullcrap, "Muungano umetuleta pamoja, amani, umoja..."

Well, mbona hatuna Muungano na visiwa vya Madagascar na hatuna vita na Madagascar?

Natamani kutapika.
 
Hivi mbona mgeni rasmi hajahutubia? Sherehe zimekuwa kama tulikuwa dar live tukiangalia na kupata burudani
 
Wana JF, Nimejaribu kumwangalia kwa umakini JK kwenye sherehe ya muungano, tofauti na tulivyomzoea ameonekana mwenye mawazo sana!!, namshauri avunje baraza lake leo au kesho ili arudi normal!!
 
hizi sherehe zinachosha watoto ambao leo walitakiwa wawe nyumbani kwao wakiwasaidia wazazi wao lakini wao wanapelekwa kenye halaiki ambayo nazan hata shs.kumi hawapewi-watu wanawatumia hawa watoto vibaya.
 
Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Rusha picha za masikitiko tuone kama ni kweli unaweza kuwa unazua jambo lenye siasa chafu.
 
Mimi nilichoshangaa ni kuona wengi waliohudhuria ni vitoto vya shule tu!
 
Wana JF, Nimejaribu kumwangalia kwa umakini JK kwenye sherehe ya muungano, tofauti na tulivyomzoea ameonekana mwenye mawazo sana!!, namshauri avunje baraza lake leo au kesho ili arudi normal!!

Atavunja kesho au jmosi.
 
Kwenye sherehe huwezi jua mwenye huzuni na furaha, tuache ushabiki usiojenga, nakushauri utangulize uzalendo
 
Wana JF, Nimejaribu kumwangalia kwa umakini JK kwenye sherehe ya muungano, tofauti na tulivyomzoea ameonekana mwenye mawazo sana!!, namshauri avunje baraza lake leo au kesho ili arudi normal!!
Hivi mlinzi wake siku hizi ni nani baada ya sheikh Yahaya...maana ukiona hivyo ujue alikuwa na kila dalili za kudondoka.....
 
Mleta mada unayoyasema ni kweli kabisa, hata mimi nimemuona JK anajitahidi kujitabasamisha lakini wapi, anaonekana kuwa na msongo wa mawazo.
 
Namshauri JK ateue mawaziri kutoka ktk waliobaki kwenye orodha ya waliopendekezwa ktk tume ya kuratibu uundwaji wa katiba mpya. nyie mnaonaje? Ndani ya CCM sioni mtu.
 
Back
Top Bottom