kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,751
- 595
Anaelezakuwa posho zinaleta hisia kuwa serikali inalipa fungu kubwa la mshahara huku asilimia hamsini ikiwa ni posho
Ni kosa la jinai kumwalika JK ambaye ndiyo chanzo cha matatizo ya kila aina hapa TZ, including matatizo ya wafanyakazi!!
mbo ya mfanyakazi bora hadi leo yapo?
Enzi zile mfanyakazi bora anapewa radio ya NATIONAL PANASONIC na betri nne.
mbo ya mfanyakazi bora hadi leo yapo?
Enzi zile mfanyakazi bora anapewa radio ya NATIONAL PANASONIC na betri nne.
Hajaanza kuropoka bado?
Anatuongezea mastress
Hapo kaladi mkuu ni kusudi au bati mbaya?
Leo ni siku ya wafanyakazi duniani. JK atazungumza na wafanyakazi kupitia sherehe za mei mosi. Atakuwa na jipya la kuwaambia wafanyakazi maana amekuwa hatekelezi ahadi zake?
Amesahau alipowaambia wafanyakazi akili zao wachanganye na za mbayuwayu wakati wa mgomo wao na kuwaambi wagome hata miaka minane kamwe hawataongezewa mishahara?
Leo mshahara uko palepale wakati mfumko wa bei ni mkubwa na wafanyakazi wanakatwa kodi kubwa kuliko hat wafanyabiashara.
mgaya anasema wafanyakazi wa tanzania wanaishi kwa kubangaiza na hata nyuso za wengi wao zimekata tamaa na kuna wengi tools down kama madaktari
Mpwa nadhani hii ni typing error!!!
ndio JK kamaliza kutoa zawadi za wafanyakazi bora na sasa Katibu Mkuu TUCTA (Bw. Mgaya) anatoa salam za wafanyakazi
Wafanyakazi hatuikubali TUCTA ya kina Mgaya na JK walokula deal naye kutunyonga
sijaweka double 'o' thats why umeita typing error