Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.

ni mtoto wa raisi mshahara wa babake unamwezesha kuwa na gari nzuri na yeye si baba wa nyumnbani ni mtafutaji>kuwa na bodigadi sio hatari ana maadui wengi including you!
 
MAMA Salama Kikwete ndio anaingia ndani ya eskoti na Benz la kufa mtu, naona anaenda kumpa Hi Mpiganaji wa CUF Mheshimiwa Seif Shariff Hamad... na sasa anaingia Raisi wa serikali ya mapinduzi ya Z'bar mheshimiwa Dr. Shein akiwa na mkewe mama Mwanamema Shein.
 
Vipi Seif Sharif Hamad kuwepo kwenye high rank Line na karibu wote wanaenda kumsalimia yaani uyu jamaa anatisha sana duh!!
 
Sasa anawasili Raisi wa Jamuhuri ya Kenya mheshimiwa Mwai Kibaki ambaye naye pia aliingia madarakani mwaka juzi kwa mfumo kama huu wa JK ila yake ilikuwa kali ya kuapishwa fasta fasta
 
Hizi sherehe ndio zinaleta foleni mm nipo buguruni saa nzima sasa foleni haiendi wala nn.Nilisahau kuwa leo ndio huyo mkwere anaapishwa
 
Karibuni watanzania kwenye miaka 5 ya maisha magumu kwa kasi zaidi,nguvu zaidi na ari zaidi
 
Nahisi kuna kituko kitatokea kwenye kuapishwa kwa JK si unajua unapoingia madarakani kwa nguvu mambo hayaendi sawia ngoja tuone nasubiri kwa hamu
 
Sasa anawasili Raisi wa Jamuhuri ya Kenya mheshimiwa Mwai Kibaki ambaye naye pia aliingia madarakani mwaka juzi kwa mfumo kama huu wa JK ila yake ilikuwa kali ya kuapishwa fasta fasta


ahaaa naona jk ataomba wasaaa aongee na kibaki pembeni kumpa live ya uchakachuaji ulivyotaka mtokea puani......
 
Jamani kwa kweli hii inatisha sana... kwanza ameingia kama kiongozi na ameingia baada ya viongozi wengine kuwa wameshaingia wakiwamo wastaafu, wageni kutoka nje ya nchi na mabalozi na ameingia na kwenda moja kwa moja eneo la wageni mashuhuri (VIP). Hakuna tatizo kwenda VIP maana pia ni sherehe ya familia, lakini angefika mapema na si kama kiongozi

Na hiyo si bahati mbaya, they know what they are doing. Miaka hii mitano tutasimulia, after all ushindi ni wa familia ya Kikwete, wengine wanajipendekeza tu.
 
kuna mkanganyiko hapa, mara Zuma anakuja mara Jk....aghrrrrrr!!!!! zuma kashtukiza nini?
 
hivi sitta bado ni spika? sijaelewa hapa sheria ikoje! bunge lishavunjwa sasa spika anatokea wapi na majuzi kachukua fomu au ebu tujuzeni wenye uelewa hapa
 
Back
Top Bottom