Yombayomba JF-Expert Member Aug 23, 2006 818 214 Jul 25, 2012 #1 Heshima zetu kwa wale wote waliolipigania taifa letu, wishimiwa wakiwa katika sherehe za mashujaa katika viwanja vya mnazi mmoja , Dar Attachments ohhh.jpg 43.2 KB · Views: 102
Heshima zetu kwa wale wote waliolipigania taifa letu, wishimiwa wakiwa katika sherehe za mashujaa katika viwanja vya mnazi mmoja , Dar
M mpigauzi JF-Expert Member Jul 17, 2012 275 71 Jul 25, 2012 #2 Yombayomba said: Heshima zetu kwa wale wote waliolipigania taifa letu, wishimiwa wakiwa katika sherehe za mashujaa katika viwanja vya mnazi mmoja , Dar Click to expand... Mkuu mbona habari yako haieleweki unataka nini. Kama umbea fulani
Yombayomba said: Heshima zetu kwa wale wote waliolipigania taifa letu, wishimiwa wakiwa katika sherehe za mashujaa katika viwanja vya mnazi mmoja , Dar Click to expand... Mkuu mbona habari yako haieleweki unataka nini. Kama umbea fulani
bogota the king Member Feb 3, 2012 77 48 Jul 25, 2012 #4 Anawasaliamia hawa wenye NYWELE NYEUPE wandugu! Sio umbea!
R Robbie New Member Jul 25, 2012 3 0 Jul 25, 2012 #5 Wazee wenyewe wanakumbukwa siku kama hizi kwa kudanganywa na suti wanazopewa.Mashujaa walioko mkoa wa mara wamechoka hadi huruma
Wazee wenyewe wanakumbukwa siku kama hizi kwa kudanganywa na suti wanazopewa.Mashujaa walioko mkoa wa mara wamechoka hadi huruma