Nimewahi kuwatch sinema nyingi sana za ulaya na marekani zenye harusi ndani yake na i tend to like them, they are simple na nyingi zinafanyika hapo hapo home na watu wanasherehekea kwa muda mfupi (kama ni lazima) then wanasambaa. Huku kwetu mpaka watu wakamuane weeeee kha! Hapa nina kadi za zaidi ya 200,000 si watanilaza njaa hawa haki ya nani?
Mine will be at the back yard as well and wont exceed 100 peopleSio kulala njaa, utalala jela kwa kukopa ili uridhishe watu. Lakini umeona harusi ya Mark Zuckerberg it was in the back yard of their house. Unalisha watu 500 halafu hata honeymoon hakuna, faida yake nini.
sherehe kubwa inatia heshima kubwa mjini mkuu.....na ukizingatia most cases it happens once a time in lifetime.....
Mimi napanga watu 10, ndugu na mashahidi tu......Mine will be at the back yard as well and wont exceed 100 people
Kaka nimeielewa hii kwa kina sana na nimeiexperience pia baada ya kuanza kuhudhuria kwenye kamati za Harusi. But headache wanayoipata kwenye kutafuta michango made me hate the whole thing
Mi sitaki michango ya mtu zaidi ya watu wangu wa karibu sana wasiozidi 10, wengine watapewa mialiko tutatizo sio sherehe kubwa, tatizo ni michango......
Kama una pesa yako fanya sherehe kubwa lakini sio kutia heshima kwa hela ya wenzio........
Kuna mtu alitaka sendoff ya milioni 15, kaulizwa wewe una shilingi ngapi akasema hana hela kwa kuwa ndo kamaliza shule hajapata shughuli..... Sasa ufahari wa nini? Heri tungemchangia mtaji kuliko kunufaisha function halls
Michango ni moja ya shughuli za kijamii, kacha kuchangia ije siku na wewe una shughuri utaona umhimu wake.
Haya maneno uliyoyasema hapa mazito!Inategemea kuchangia nini, huyu kasema ya harusi. Kwa kifupi ni upuuzi wa kupenda kujikwangua kwa issue ya siku moja ilhali una majukumu yanakukabili.
Inferior people hudhania life superiority itakuja kwa kuwaalika kwa sherehe. Hakuna anayefikiria mtaishie, wote wanafikiria mtafanikishaje sherehe. Mnaanza day 1 na madeni, kisa ufahari. Bora mawazo haya yawe ya mwanamke
hivi huwa mnaweka na bajeti ya kuhonga kwa mwezi?kha!ahsante sana mama yangu kwa kunizaa mwanamke!
ahahahahahhahahhahahha haya bwana!mwamba ngoma...........................................namshukuru MUNGU kwa kunileta dunian nikiwa kama mwanaume rijali nitakae mwamisha mwanamke kutoka ukoo wao na kujaza ukoo wetu
Mi sitaki michango ya mtu zaidi ya watu wangu wa karibu sana wasiozidi 10, wengine watapewa mialiko tu
Tena wenzetu kama sio ndugu hata kwenda unaona aibu...Nimewahi kuwatch sinema nyingi sana za ulaya na marekani zenye harusi ndani yake na i tend to like them, they are simple na nyingi zinafanyika hapo hapo home na watu wanasherehekea kwa muda mfupi (kama ni lazima) then wanasambaa. Huku kwetu mpaka watu wakamuane weeeee kha! Hapa nina kadi za zaidi ya 200,000 si watanilaza njaa hawa haki ya nani?
Na ndio maana ndoa nyingi zenye misherehe ya kufa mtu huwa hazidumu sana coz hazikujengwa kwenye loveWatu wengine hupenda sherehe kubwa kwa ajili ya sifa tu.
Kuna rafiki yangu m1 alijiingiza kwenye mkopo eti anifunike kwenye sherehe.. Mwisho wa siku kamaliza sherehe kwa kubaki na madeni lukuki..Taabu yote ya nini?
Kikubwa ni upendo tu hata ukifanya sherehe ya 500,000 ni poa