Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,488
- 17,350
Wana JF heshima kwenu,
Leo majirani na ndugu zetu wametimiza miaka 50 ya uhuru wa nchi yao,twawapongeza sana kwa maendeleo waliyofikia na mapinduzi mengi yaliyopita hapo katikati.
Nimeshtushwa kidogo nilipoona show kubwa na ya muda mrefu ya ndege zao za vita,kubeba vifaa zikirindima kwenye anga la mji wa Tololo (kama sijakosea)...nikajiuliza maswali mengi sana,kwa nini wametuonyesha uwezo wa jeshi lao zaidi?au kuna mambo ya chini ya kutunishiana na nchi jirani??ni mtazamo wangu napenda kujua!