Sherehe ya kumtahiri mtoto

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Siku moja mume na mke wake waliandaa sherehe ya kumtahiri kijana wao... Wakatayarisha kadi kwa lugha ya Kiengereza lkn kwa bahati mbaya wakashindwa kuandika 'Sherehe ya Kutahiri' kwa Kiengereza. Wakajadili na hatimaye wakaamua kuandika "CEREMONY OF CUTTING ****ING INSTRUMENT"....!
 
4some how, inaonekana wengi wamefurahia kimya kimya...
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaaa... Hii ni yaukwel yan ninamalza vzur cku yangu
 
Back
Top Bottom