Shemeji yangu hapandwi na mzuka, mpaka apige CHABO.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,063
4,058
Nina rafiki yangu ambaye nimemtangulia kuoa.
Mimi ndiye niliyekuwa bestman siku ya harusi yake.
Jana jioni kaniletea nung'uniko kuwa mkewe hapandwi na mshawasha wa kufanya mapenzi hadi apite chumba cha jirani kuwaangalia wakijifagadua.
Jamaa anaomba msaada ili mkewe aweze kurudi katika hali ya kawaida, anasema ameshapita kwa wataalam wa matatizo ya akili bila mafanikio.
 
Ohoooooooooooo! DEMU wa viwanja huyo!

Bas hamana shaka mwambie wakubalianae awe anamleta mtu hapo wanajiFAGADUA JF kwa misamiati.! Kumegana, kujifagadua! kwanza wakati mke akichabo then wanamalizia............:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
...Si mnunue tu DVD ya X 'mchabo' mnavyotaka kwenye tiivii yenu kuliko kwenda kwenye madirisha ya watu? Mtamwagiwa maji ya moto nyinyi, shauri lenu! :A S tongue: :A S tongue:
 
mmh shost mbona ana tabia zakiume?????????
mwanasaikolojia nenden tena ata km aikufanya kaz last tym!!!!!!!!
muombe mungu thats sign of demon............waone wachungaji watakusaidia!!!!!
 
Tabia zipi za kiume hapo?
 
mkubwa kikubwa kabisa kwanza ni kwa mda gani? tena unatakiwa kwenda kwa mwanasaikolojia au daktari alie bobea mambo ya akina mama da pole sana mkubwa
 
Nina rafiki yangu ambaye nimemtangulia kuoa.
Mimi ndiye niliyekuwa bestman siku ya harusi yake.
Jana jioni kaniletea nung'uniko kuwa mkewe hapandwi na mshawasha wa kufanya mapenzi hadi apite chumba cha jirani kuwaangalia wakijifagadua.
Jamaa anaomba msaada ili mkewe aweze kurudi katika hali ya kawaida, anasema ameshapita kwa wataalam wa matatizo ya akili bila mafanikio.
Stori za kupika hizi.
 
Masimulizi mengine bana...yanaweza kukufanya uanze kunyofoa nywele zako moja baada ya nyingine. Sasa ina maana hao majirani huacha mlango wazi ama? Au huwa anawalia chabo kupitia dirishani?
 
teh teh teh!duh mimi nina rafiki yangu ndo mchezo wake tokea shule na mpaka sasa,na sasa ameoa sijui kama ameachaa au la! na nimember humu nadhani ananisoma!
 
Masimulizi mengine bana...yanaweza kukufanya uanze kunyofoa nywele zako moja baada ya nyingine. Sasa ina maana hao majirani huacha mlango wazi ama? Au huwa anawalia chabo kupitia dirishani?
Halafu je, wanapokuwa wanafanya wale majirani wanatoa mwaliko? Je, kuhitaji kwao kunaendana na kule kwa majirani? Mbona haiiingii akilini?
Please re-form.
 
Yawezekana pia mvuto umeisha kwa mume, mama anahitaji kachumbari ugali upite. Kazi kwa mume kurekebisha mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom