Shemeji yangu gay, alale na nani?

Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.

Lala naye chumbani kwako na mkeo ili umlinde vizuri lakini pia akitaka kumsaidia dada yake unaweza kujitolea tu kulinda ndoa yako.
 
...Mw'mungu atulinde tu na ibilisi huyu,
jana uingereza kumeshuhudiwa kituko hiki;

gay-protest-snogathon-outside-john-snow-pub-pic-getty-681118870.jpg

Hundreds of gay protesters snog outside pub after a couple were kicked out for kissing - mirror.co.uk

...mwanandugu akiwa ndio 'anaugua' ugonjwa huu sijui utamtenga kivipi tu yarabi!
 
Wa kiume miaka 9 wa kike 6 shoga ana 20yrs

...dah, pole sana bro. Huyo wa kiume yumo kwenye umri wa 'kukua'
uwe makini. Kumradhi kwa haya ninayokwambia, lakini ininaonyesha mkeo hayupo serious

Ndugu yake analazimisha aje, amuone eti amemiss sana

...angalia historia isije jirudia 'wakakuharibia' watoto! ...hiyo tabia 'inarithiwa.'
 
Sawa bibie,atacheza na baraza

Ha ha ha ha ha hiyo hapo juu imenichekesha sana, eti atacheza na baraza.....
Usimlaze barazani bana....lol

Asilale hapo home,hafai kulazwa na mtoto wa kiume /kike asije kuwashawishi hao watoto kufanya huo ushenzi wake, kwa kumheshimu kama binadamu na ndugu wewe mtafutie sehemu nyingine ya malazi iwe hotel au guest hse.
 
chumba kimoja alale binti na mama yake, chumba cha pili lilale shoga , wewe na kijana wako, ila wewe itabidi ulale katikati baina ya shoga na kijana ili just in case shoga likianza upopobawa wake likurukie wewe na kijana asalimike , aje kutetea katiba mpya bungeni.

naitwa klorokwini.

dah! mkuu umenifurahisha... weekend njema! hehehe
 
Kuna vitu viwili hapa tunapaswa kuviangalia:
1. Mashoga ni binadamu kama binadamu wengine; kuwa kwao mashoga hakuwafanyi wakose hisia na sifa nyengine za kibinadamu.
2. Shemeji yako, ni mjomba wa damu wa watoto wako, ni watoto wake pia; na kama ilivyo kwenye namba moja juu, huyu akiwa kama mjomba na mwenye hisia za kibinadamu, hawezi kuwaharibu watoto wake. Tuchukuwe mfano mwengine; ikiwa mtu ni shoga na ameoa na kupata watoto (wapo wengi waliooa), jee huwaharibu watoto wake?

Lakini kama bado una wasiwasi, basi mwache mama alale na watoto wake, na wewe ulale na huyo "shoga", angalau usiku mmoja tu. Akijaribu kukumendea asubuhi mkaribishe aondoke nyumbani.
 
kwani watoto hawawezi kulala pamoja? Laza watoto pamoja na huyo apate chumba chake mwenyewe...
 
Du kama wife ni mbishi anang'ang'ani mdogo wake aje, mwambie kabisa kwamba kuwa wewe (Baba) utalala na mgeni sebuleni/verandani Mama alale na wa kike na chumba kilichobaki alale wa kiume.
Vaa msuli tu na mweleze mkeo punga likipunga utapunga nalo.
Samahani sana hapo utajua mkeo na mdogo wake wana ............... ?
 
Kama vp mlaze stoo huyo punga,
Utatuambia hata stoo huna!
Angalia hii mambo bhana,utakuharibia watoto.
 
...dah, pole sana bro. Huyo wa kiume yumo kwenye umri wa 'kukua'
uwe makini. Kumradhi kwa haya ninayokwambia, lakini ininaonyesha mkeo hayupo serious

...angalia historia isije jirudia 'wakakuharibia' watoto! ...hiyo tabia 'inarithiwa.'
Huyu nitampeleka guest au nikam Ban asije kabisa
 
Kuna vitu viwili hapa tunapaswa kuviangalia:
1. Mashoga ni binadamu kama binadamu wengine; kuwa kwao mashoga hakuwafanyi wakose hisia na sifa nyengine za kibinadamu.
2. Shemeji yako, ni mjomba wa damu wa watoto wako, ni watoto wake pia; na kama ilivyo kwenye namba moja juu, huyu akiwa kama mjomba na mwenye hisia za kibinadamu, hawezi kuwaharibu watoto wake. Tuchukuwe mfano mwengine; ikiwa mtu ni shoga na ameoa na kupata watoto (wapo wengi waliooa), jee huwaharibu watoto wake?

Lakini kama bado una wasiwasi, basi mwache mama alale na watoto wake, na wewe ulale na huyo "shoga", angalau usiku mmoja tu. Akijaribu kukumendea asubuhi mkaribishe aondoke nyumbani.
Sawa mkuu nitachekecha pumba na mchele,namsubiri aje
 
Back
Top Bottom