Shemeji yangu gay, alale na nani?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
 
Utamlazaje mwanaume mzima na mtoto wa kike?Mlaze na wa kiume...kwani kakwambia anatamani hata ndugu!
 
Utamlazaje mwanaume mzima na mtoto wa kike?Mlaze na wa kiume...kwani kakwambia anatamani hata ndugu!
Hajaniambia ndio mara yake ya kwanza kututembelea kwa style hii ya kuzima radar
 
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.

Mlaze living room kwenye Sofa!
 
No no huo ni unyanyapaa,kwa ujumla nawachukia hawa watu ila mpe heshima yake ila mtaadharishe dogo akiona kuna dalili yeyote mbaya aseme
 
sikumaanisha kwamba anaweza kukwambia kweli...ishu ni kwamba hawezi kutamani ndugu unless ni mgonjwa!

icho anachokifanya tu ni ugonjwa tayar
sokuataman ndg pia si shda kwake
pls asilale na mtoto wa kiume..anaweza ata akamwomba amkwee na ivyo kuleta pcha /mbegu mbya kwa mtoto

atafutiwe chumba chake na uwe makin na watoto wako
 
Mtafutie chumba cha peke yake. Huez jua unaweza kumlaza na mtoto wa kiume akamfundsha amfanyie hako ka mchezo. Inshort ni bora alale peke yake!
 
Mtafutie chumba cha peke yake. Huez jua unaweza kumlaza na mtoto wa kiume akamfundsha amfanyie hako ka mchezo. Inshort ni bora alale peke yake!

kwa usalama zaidi, amlaze na mtoto wa kike,
kwani wakiwa pamoja huko anajiona kama binti,
mwisho wa siku hakuna kitakachotokea!
 
kwa usalama zaidi, amlaze na mtoto wa kike,
kwani wakiwa pamoja huko anajiona kama binti,
mwisho wa siku hakuna kitakachotokea!

akhu kisa cha kumpaka bnt mapepo ya sodoma?
wala alale ukouko kwa wakiume
km vp mpangien gest ya karibu...ashinde kwako kulala gest

mashoga hawana msalia mtume thy r capable of anythng
 
Mh! Hii kweli njia panda. Fanya ol that u can huyo bwana alale peke yake. Kama watoto wako si wakubwa sana wao ndio walale chumba kimoja, mmoja awekewe godoro chini.
 
mpngid gesti tu ndo soln lakn ukishaanza kumjaribu itakula kwako ni hyo 2....
 
Back
Top Bottom