shemeji ananitaka kimapenzi....!

Dume la Nyani

Member
Apr 14, 2011
37
8
kuna dem wa rafiki yangu ambaye 2likuwa 2kiishi rum moja 2lipokuwa high xcul now amekuwa akinipigia cm ucku na kunitaka kimapenzi huku akijua kabisa mm na boyfrnd wake ni marafiki wakubwa na kibaya zaidi anasema yuko tayari kuachana na jamaa yake...!
 
je wewe uko tayari kugomba na rafiki yako kwa sababu ya huyo dem....je kwa sasa huna rafikimwingi wa kiume maana inaelekea akisha kuchoka anaenda kwa huyo rafiki yako....
 
mwambie kuwa wewe u mwanaume rijali na hutaki urijali wako uwe chanzo cha kugombana na rafiki yako
 
kuna dem wa rafiki yangu ambaye 2likuwa 2kiishi rum moja 2lipokuwa high xcul now amekuwa akinipigia cm ucku na kunitaka kimapenzi huku akijua kabisa mm na boyfrnd wake ni marafiki wakubwa na kibaya zaidi anasema yuko tayari kuachana na jamaa yake...!

kicheche kingine hicho
 
kama ni demu sishangai kufanya hayo.....angekuwa rafiki wa kike/mchumba wa rafiki yako ningeshangaa sana yeye kufanya hivyo.....!!

kama hajaridhika na aliyenae wataka asitafute option nyingine? wamefunga ndoa? wana watoto? wewe labda tu hujampenda otherwise sioni ishu kubwa isiyoelezeka hapo.
 
Mweleze ukweli kwamba humtaki na sababu ni kwamba BF wake ni rafiki yako
kaa nae mbali maana ugomvi wa mapenzi sio mzuri
 
kama ni demu sishangai kufanya hayo.....angekuwa rafiki wa kike/mchumba wa rafiki yako ningeshangaa sana yeye kufanya hivyo.....!!

kama hajaridhika na aliyenae wataka asitafute option nyingine? wamefunga ndoa? wana watoto? wewe labda tu hujampenda otherwise sioni ishu kubwa isiyoelezeka hapo.
mmmmmh! yaani amsaliti rafikin yake kwa sababu ya she?neva, huyo she ni kicheche tena mapepe,yaelekea umalaya chati kashika
anagawa kwa kila rika x2 .... hebu shika talaka nendaa.. nenda ....(20%)
 
Kama unampenda sana na wewe hakuna shida ila jiandae kuvunja urafiki na rafiki yako pia utakuwa huaminiki na marafiki zako. pima kati ya hayo ukiona urafiki una thamani zaidi achana nae ila ukiona mapenzi ni azito zaidi ingia tu kichwakichwa
 
kama hajaridhika na aliyenae wataka asitafute option nyingine? wamefunga ndoa? wana watoto? wewe labda tu hujampenda otherwise sioni ishu kubwa isiyoelezeka hapo.
Hivi njia sahihi usipo ridhika unatafuka mwingine....
 
me naona jaribu kuchunguza kwanza kitu gani kinamtoa kwa rafik yko kuja kwako, na ukigudua kuwa ni ukicheche wake tu mpige chini usikubali, na ukigudua kuwa anakupenda kweli mega kisela
 
nasikia jamaa fulani katoka Habari Corporation sasa anatamba kuwa kajivua gamba. Mnajua kilichomtoa huko? Jamaa ni mlevi kweli, akiwa analambwa mitaani akiwa fofofo sasa uongozi ukaona hauna sababu ya kuendelea kuaibishwa na mtu wa aina hiyo. Nasiki huko ofisini kwake wameshukuru.
 
kuna dem wa rafiki yangu ambaye 2likuwa 2kiishi rum moja 2lipokuwa high xcul now amekuwa akinipigia cm ucku na kunitaka kimapenzi huku akijua kabisa mm na boyfrnd wake ni marafiki wakubwa na kibaya zaidi anasema yuko tayari kuachana na jamaa yake...!

Demu nae unamwita shemeji???
Lakin kumbuka muosha huoshwa.
Kama aliweza kumkana rafiki yako, jua kwamba akitokea mwarabu atakukana hata wewe
 
kuna dem wa rafiki yangu ambaye 2likuwa 2kiishi rum moja 2lipokuwa high xcul now amekuwa akinipigia cm ucku na kunitaka kimapenzi huku akijua kabisa mm na boyfrnd wake ni marafiki wakubwa na kibaya zaidi anasema yuko tayari kuachana na jamaa yake...!

nimeangalia Avator yako kwa umakini mkubwa na nikaona unapredict mwisho wako
 
Back
Top Bottom