Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

Hama kwenye nyumba ya vyumba viwili. kaa kwenye nyumba nzima, kila mtu na kwake utaweza kuepuka vishwawishi.
 
tatizo lako kubwa umejawa na tamaa sna kama unajikuta hadi unamuota nikuonyesha jinsi gani ulivyonatamaa.sasa jaribu kuzishinda tamaa kwa kumpuunza yani muone wakawaida tu muone hana jipya zaidi ya aliokua nayo mkeo hapo utashinda vishawishi vyake.....
 
aiseee mi najua ntajikuta tuu naosgeleana naye af inakuwa flirting.......bora tu kutosninda hapo ....ukweli ni kuwa ukishinda naye utaanguka tuu....kujiepusha ni kukaa mbali na mazingira hayo kwa mida hiyo...mi NAJUA TU KAMA NI MIMI NATEGWA HIVO NTAANGUKA TUU....bora ndukiii kijiweni
 
:rolleyes:ondoa mawazo ya kutaka kumtafuna shemeji yako, yote yatakwisha hayo!!
jiheshimu,muheshimu mke wako!! Tafuta kazi ya kufanya!!

yawezekana shemeji yako hana hata mawazo hayo , ila tu na yeye kakosa adabu!!
epukana nae
 
Katafute Moshe nyingine ya kufanyia, hiyo hajakutamani ni mawazo yako tu, au muulize kabisa
 
Ungelikua mume wangu wewe ningehakikisha nikitoka nakutia kwenye pochi,
 
Kama unampenda mkeo, kaa nae umweleze kuhusu jambo hilo. Pia epuka kuwa karibu na shemejio pepo la dhambi lisije likakuvamia, mbali na hapo jitahidi kujikeep busy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom