Shemeji ananikosesha amani...sijui nifanyeje..?

ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...

Ina maana hauna nguvu za kiume?au halipi?
 
Nadhan utakua hata humtaman, ila angekua analipa hata ucngetwambia. Sasa fanya hivi, usigombanishe familia kwa kumsemea na akaonekana eti ye2 ndo wa hovyo, vumilia ww ni lijali bana na u never extend makaz hapo so utaondoka 1 day na akizid fanya 2 kwa siri na msiweke mazngra ya kujionyesha wala kubadilikiana kwa kuongeza au kupunguza ukaribu wenu, na ikigundulika bora muonekane wa hovyo wote 2!
 
we vipi mshikaji wangu? Mbona rukhsa kabisa kumuoa huyo my shemeji wako! We mpe nao tu. Nalog off
 
wanaume hakuna siku hizi...
wavaa suruali tu ndo wanaongezeka....
dume zima unalalamika eti mdada anakutaka kimapenzi...
 
wanaume hakuna siku hizi...
wavaa suruali tu ndo wanaongezeka....
dume zima unalalamika eti mdada anakutaka kimapenzi...

The Boss, mimi huyu ndugu kanishangaza mno! au labda na yeye anaogopa kuharibiwa maisha kama wenzetu wanavyosemaga?
 
Sijaona tatizo hapo...sijajua hata cha kushauri,mbona wa kitaa wakikutaka kimapenzi husemi!? fanya kama unavyofanyaga mtaani tu.
 
Brother ehheee, kama upo kwa kaka yako kwa miezi miwili, ni kuwa ulienda kumsalimia au? Kama ni kumsalimia tu nafikiri muda huo unatosha we jirudie nyumbani kwako automatic utakuwa umejiweka mbali na huyo shemejiyo.

On the other hand, jaribu kuwa na sura ya KUMAANISHA kwamba hutaki hayo mambo anayoyataka huyo shem wako vinginevyo kama unamwambia kwa kucheka cheka, atakuganda maisha yako yote. na kukuharibia heshima uliyonayo kwenye familia yako as well as hapa jamvini.

Take care!
 
Dume la Nyani nilikuwa nakuamini na kukuheshimu kuwa wewe ni kidume hadi umeamua kujiita Dume la Nyani! Lakini umeniangusha kabisa yaani mdogo wa shemejio nae kumtindua unaona haram? Kweli hilo ni suala la kuuliza hapa jamvini? Kweli watu wengine majina yenu mnayotumia hayaendani na nyinyi wenyewe mlivyo.

Sasa nikushauri si wewe umetaka ushauri na maoni kutoka kwetu, huyo si ndugu yako wala hamna nasaba nae mpe kitu anacholilia acha uchoyo wewe, mtindue kiukweli ukweli hadi ajue kwa nini dada yake aliamua kuolewa na kaka yako, onyesha nyinyi ni vidume vya kazi yaani ni MADUME YA NYANI maana Dume la Nyani halina mwiko wala haramu. "ABA SOMO YAANI MIMI KUONA NTU ANAMNYIMA MWENZAKE KITU ANGALI ANACHO NAONA DHAMBI" embu mpe muhogo wa JANG'OMBE aangaike nao wewe ACHA uoga, kaka yako na shemejio wakijua ujue wewe umewahadithia watu wanatindua mtu na mdogo wake wewe unaogopa kumtindua mdogo wa shemejio! wee vp?
 
wanaume hakuna siku hizi...
wavaa suruali tu ndo wanaongezeka....
dume zima unalalamika eti mdada anakutaka kimapenzi...
Ndio tatizo la watoto kukulia getini, au kukulia seminarini. AU haya ndio madhara ya kupatia suna hospitali hamjafundishwa uanaume ni nini.

Mimi nakubaliana nawe THE BOSS kweli wanaume siku hizi wanahesabika, suala la kutakiwa na mdogo wa shemejio ni la kuomba ushauri?
 
daah af unawezakuta demu ful kuwamwaga mabishoo kitaani!wewe ndo unabebwa bebwa kama man u au barcelona!jiangushe kwenye 18yardz hizo wewe refa yuko upande wako!ama hutaki hizo point 3?,lol nikivuta picha hivi naona kama hujawahi cheza game eh!?
 
muwekeee uso wa mbuzi huyo,au mtafute msichana yoyote hapo mtaani kula dili naye uje umtambulishe hapo home kama galfriend wako,usisikilize midume ya humu inayokwambia umbandue....haina adabu wala haijui mipaka,inatembea na mashemeji zao pamoja na housegals nahisi ina ngoma haitaki kufa peke yao inatafuta wafuasi!!!!
 
Aisee mpe kitu hadi ashangae, ila kama huna big thing achana nae atakusumbua kila siku, mimi watu kama hao huwa nawaambia "don't do this 2 yourself" coz hatotamani kumrudia tena ovary burster.
 
muwekeee uso wa mbuzi huyo,au mtafute msichana yoyote hapo mtaani kula dili naye uje umtambulishe hapo home kama galfriend wako,usisikilize midume ya humu inayokwambia umbandue....haina adabu wala haijui mipaka,inatembea na mashemeji zao pamoja na housegals nahisi ina ngoma haitaki kufa peke yao inatafuta wafuasi!!!!

acha kukariri wewe hao mbona huwa tunawatumia sana!
beki to ze topiki! mkuu lamba mkopo wa sukari huo!
 
Back
Top Bottom