Shem na My sister!!

KIjana juzi

mie sikuelewi tatizo lako liko wapi hasa. Hebu toa ufafanuzi kidogo.
 
Ohoooo nilikuwa sijui kumbe hamna tatizo haya bwana endeleeni kuhalalisha tu
 
Wewe tatizo lako ni nini? kwa nini hutaki wawe na wahusiano na hata kama kuoana?
 
mtoto asiwe sawa sawa kwa nini?

hawaja changia damu hawa ................hakuna hata remote sababu ya watoto kutokuwa sawa sawa

mtoto atakuwa sawasawa kwani wawili hao sio ndugu wa damu,na pia hamna tatizo ila ni kama burter trade ndio kitakachoishangaza jamii si unajua perception ya jamii zetu za leo?
 
Haimaanishi hivyo hata kidogo, huyo shem nimemsomesha mwenyewe A-level, sister nimemsomesha O-level na nilikuwa nakaa nao pamoja wote.
Kwa uelewa wako mpana unadhani ungefurahia uhusiano wao? Sidhani kama angekuwa mtu mwingine ningehoji hivi ndugu!

Masikini unaongea kwa masikitiko mpaka nakuonea huruma, hapo huna jinisi watoto wa cku hizi hawasikii hapo we achana nao endelea na mambo yao mradi umeshawaambia ukweli na wao ndio wanajifanya wanajua achana nao dunia itawafunza na watarudi kuomba msamaha. Yaani ondoa mawazo yako kwao kabisa niamini kama ni kweli uhusiano huo haukubaliki na mungu basi wataacha ipo siku. (ILA IYO AVATA YAKO)
 
mmh kazi kwelikweli
peleka swala kwa wazazi wa pande mbili
labda hawajaona uBaya bt thru wakubwa wenu wanaweza kupunguza spd kwenye uo ujinga wao
bt shetan ana nguvu yan anaangalia pasipotakiwa ndyo ananjifanya kuimarisha na kuwadanganya ili muone daaaaahhhhh nkimwacha uyu bas tena ntampata wap mwngine...........
2B HONEST I HAIKUBALIKI KITANZANIA LAKIN KWA IVI SASA MTASEMA POA TU CZ TUNAISHI KILIBERALI ZAIDI TAMADUNI ZETU N CODE OF CONDUCT LIKE AFRICANS HATUZTAK.
kawasemelee mwaya...........watachapwa wataacha wenyewe..............!!!!!!!!!1
 
nadhani hakuna tatizo mana hawana undugu,mi kuna watu nawafahamu wameoana ni binamu na wamelelewa pamoja, offcourse siku za kwanza watu walisema sana lakini sasa washazoeleka na wanaishi vizuri. usije ukamzua dadako kuolewa na huyo shemijio hlf baadae akakosa kuolewa ukalaumiwa wewe.
 
BREAKING NEWS.
DADA YAKO KISHA CHAPWA MIMBA NA BWANA SHEMEJI.
UTAKE USITAKE, LAZIMA WAOANE.[QUOTE=Kijana Juzi;1121858]Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.

Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.

Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?

Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.

Thanx sana.[/QUOTE]
 
Hata mie nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Tatizo ni kuwa shemeji anataka kuoa dada wa jamaa. Lets make it simple: Kama wewe ni kidume umeoa familia X nayo familia X inakuja kuoa kwenu. Katika mila zetu za kibongo haikubaliki pengine kama mtakuwa mmechakachua maadili kwa kiasi cha juu kabisa.
 
Haimaanishi hivyo hata kidogo, huyo shem nimemsomesha mwenyewe A-level, sister nimemsomesha O-level na nilikuwa nakaa nao pamoja wote.
Kwa uelewa wako mpana unadhani ungefurahia uhusiano wao? Sidhani kama angekuwa mtu mwingine ningehoji hivi ndugu!

Kumsomesha hakufanyi awe mdogo wako tena simamia harusi na tuone meno yako yote,we unae dadake chumbani kuchukuliwa dadako waja juu?
 
Tatizo ni kuwa shemeji anataka kuoa dada wa jamaa. Lets make it simple: Kama wewe ni kidume umeoa familia X nayo familia X inakuja kuoa kwenu. Katika mila zetu za kibongo haikubaliki pengine kama mtakuwa mmechakachua maadili kwa kiasi cha juu kabisa.

Na mimi ndio maana nakataa:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Gaijin me naona kama madhara yapo bwana mbona wanachanganyana hivo wakati tayari washaunganisha undugu
Madame Hapo hakuna undugu, hiyo ilikuwa ni meeting Point tu, Wanaweza kuoana bila Tatizo, kama kweli wanapendena, Tatizo tu kama watakuwa wameanza kuvunja ile Amri.In real sense hakuna undugu ila ni ujamaa. Nafikiri sio njia mbaya ya kuzidi kuunganisha ujamaa.
 
Tatizo ni kuwa shemeji anataka kuoa dada wa jamaa. Lets make it simple: Kama wewe ni kidume umeoa familia X nayo familia X inakuja kuoa kwenu. Katika mila zetu za kibongo haikubaliki pengine kama mtakuwa mmechakachua maadili kwa kiasi cha juu kabisa.
Maadili yanakuwa ya upande mmoja tu?
 
nadhani hakuna tatizo mana hawana undugu,mi kuna watu nawafahamu wameoana ni binamu na wamelelewa pamoja, offcourse siku za kwanza watu walisema sana lakini sasa washazoeleka na wanaishi vizuri. usije ukamzua dadako kuolewa na huyo shemijio hlf baadae akakosa kuolewa ukalaumiwa wewe.

Anna, asume ww umeolewa (may be its true) then mdogo wako wa toka nitoke anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mumeo nae ni toka nitoke, ina-make sens hapo?
Usichulie simple simple but kwa vile yametokea ni kuwa mtulivu tuu!!
 
Pole sana kwa mkasa huo kijana. Hapo inabidi uwashirikishe wakubwa wa ukoo wa pande zote mbili nadhani muafaka utapatikana kama wanachofanya ni sawa au la.
 
Tatizo ni kuwa shemeji anataka kuoa dada wa jamaa. Lets make it simple: Kama wewe ni kidume umeoa familia X nayo familia X inakuja kuoa kwenu. Katika mila zetu za kibongo haikubaliki pengine kama mtakuwa mmechakachua maadili kwa kiasi cha juu kabisa.
Mi nimekulia mazingira ambayo hakuna bindings za namna hiyo. Natumai na wengine pia ndio maana wanashangaa tatizo ni nini?
 
mbona poa tu...wamependana we shida yako ni??? Achana nao bwana. Mi nawajua madada wameolewa na brothers n they are gud!!!
 
Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.

Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.

Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?

Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.

Thanx sana.

What's wrong? Au uaona wivu kwa dada yako...! Shukuru Mungu sio mdogo wako wa kiume au kaka yako kakuchukulia mke...!
Mimi mwenyewe iko hivi; Ninaye mama yangu mkubwa (yaani mama mmoja, baba mmoja na mama yangu mzazi), na mtoto wake wa kiume kaoa (yaani sasa huyo ni kaka yangu na mkewe ni shemeji yangu kikwetu), nami nilipokuja kuoa, nilijikuta mama mkwe wangu ni mama mmoja, baba mmoja na huyu shemeji yangu....! Hivyo, shemeji yangu sasa amekuwa na nyadhifa mbili kwangu (yaani ni shemeji, na ni mama mkwe pia!)...! Duh, lakini maisha yanaenda...!
 
Haimaanishi hivyo hata kidogo, huyo shem nimemsomesha mwenyewe A-level, sister nimemsomesha O-level na nilikuwa nakaa nao pamoja wote.
Kwa uelewa wako mpana unadhani ungefurahia uhusiano wao? Sidhani kama angekuwa mtu mwingine ningehoji hivi ndugu!

Kijana nalielewa tatizo lako, ni kwamba unawaza jamii itakuelewa vipi wakati shemeji ANAMUWOWA dada yako ndaniya nyumba yako! hata mimi hilo lingenisumbua hasa kama tayari una watoto, dawa ni kuwaomba kistaarabu tu waanze mbele wakaendeleze mahusiano yao sehemu nyingine lakini sio hapo kwako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom